Hata Bill Gates na Mack hawamiliki 100 %.kwa mujibu wa bongo5 mameneja wa Diamond wanchukua 30 % anachoingiza Mondi na wanadeserve.Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Wanamsikiliza Mange Kimambi ni mazombieMange kaumbuka eti kusaga 90% mondi 10.
Ukitaka ufike mbali ni lazima ushirikiane na watu, Mark zuckbereg aliegundua facebook yeye ana asilimia 25 tu na ni c.e.o wa facebook kama ilivyo kwa diamond kuwa c.e.o wa wasafi, Regnald mengi pia na yeye hamiliki hisa asilimia 100 za ipp media kwasababu kuna wamiliki wengine,,,,Ndivyo biashara inavyofanyikaKijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
bond ama connection na wadau haiepukiki leo unaweza kuyumba bado wanahisa wakakubeba for the sake of your/their organization... kwahiyo hata hapo alipo anastahili kupongezwaKijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Jamaa Domo ni Bilionea lakini anaishi kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 25 ndio bilionea wa kwanza Manager wake salamu hana nyumba πππππππ.Baada ya sintofahamu ya umiliki halisi wa hisa za wasafi media leo kila kitu kipo wazi, kuna kipindi watu walikadiria diamond kumiliki asilimia 8 ila imekuwa wazi sasa kwamba kijana wetu nembo ya Tanzania Diamond Platnumza Anamiliki hisa asilimia 45 katika wasafi media
Kwa hisa asilimia 45 diamond ana nguvu hizi
Kuwepo kwenye Bodi wa kampuni ya wasafi (hapa pia ni c.e.o wa wasafi)
Kushiriki katika kutengeneza sera za kampuni
kuhusishwa katika mijadala ya mienendo ya kifedha katika kampuni
uwezo wa kuuzianna bidhaa na kampuni ya wasafi
uwezo wa kupachika mameneja katika kampuni ya wasafi media
kuweza kutoa ushauri wa kitaaluma unaoweza kuisaida wasafi media
Tukirudi katika mapato atayopata Diamond ni kwamba mfano wasafi media imetengeneza faida inayobakia kwa wanahisa ya bilioni 1 basi Diamond anachukua milioni 450 huku kusaga akichukua asilimia 53 (milioni 530) na nyingnine asilimia 2 (milioni 29 ) itaenda kwa mwengine ambaye hajajulikana vizuri.
Utakuwa na element za usagaji.....
mwanamke Kwa mwanamke mwenzie anaona wivu.....that's natural.... short of that is abnormalities...
Mkuu nimekuelewa vizuri sana hapabond ama connection na wadau haiepukiki leo unaweza kuyumba bado wanahisa wakakubeba for the sake of your/their organization... kwahiyo hata hapo alipo anastahili kupongezwa
Alright...punguza hasidi....is just my opinion...Ushindwe na ulegee sijawahi kufikiria wala kufanya usagaji please don't judge mi kwa kuona uzuri wa huyo dada. Being real sio tija kuniona mkosefu.
Hafu nani ka kwambia wanawake tunaoneana wivu, Ili Iweje binadamu yoyote asiye jielewa ndo Ana wivu wa kijinga
hivi lile jumba la sauzi ndo alisha mkabidhi zari?Jamaa Domo ni Bilionea lakini anaishi kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 25 ndio bilionea wa kwanza Manager wake salamu hana nyumba πππππππ.
vp kama akina tale ndio hiyo 29%Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Unajua anamiliki nyumba ngapi ambazo kwake ni kama vibanda?,Jamaa Domo ni Bilionea lakini anaishi kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 25 ndio bilionea wa kwanza Manager wake salamu hana nyumba πππππππ.
Ukitaka ufike mbali ni lazima ushirikiane na watu, Mark zuckbereg aliegundua facebook yeye ana asilimia 25 tu na ni c.e.o wa facebook kama ilivyo kwa diamond kuwa c.e.o wa wasafi, Regnald mengi pia na yeye hamiliki hisa asilimia 100 za ipp media kwasababu kuna wamiliki wengine,,,,Ndivyo biashara inavyofanyika
Biashara za hivyo hazipo dunia hii. Labda kama anataka kuuza supu kitongoji cha tandale na maeneo ya jirani.Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Sina acid umeenda mbali sana kuni hukumu usagaji wakati sijawahi practice maisha yangu yoteAlright...punguza hasidi....is just my opinion...
Ok no harm ....then....Sina acid umeenda mbali sana kuni hukumu usagaji wakati sijawahi practice maisha yangu yote
Okay coolOk no harm ....then....
Ujitaka.kuwa na kampuni yenye mafanikio usimiliki peke yako. Hata sheria za tz haziruhusu jambo hilo. Babu tale na fella ni mameneja wanalipwa mshahara ndio baadaye faida inapatikana kwenda kwa wamiliki.Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.