Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew huelewi. Ishaambiwa hiyo 45 ni under diamond's name alafu unataja kina babu tale. Hizo 45 sio group share ni personal shareKijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Hiyo inaitwa risk sharing mkuu. Ina maana hata kampuni ilipata hasara mnapata wote. Huwezi miliki peke yako alafu ukipata hasara unapata wew tuUkitaka ufike mbali ni lazima ushirikiane na watu, Mark zuckbereg aliegundua facebook yeye ana asilimia 25 tu na ni c.e.o wa facebook kama ilivyo kwa diamond kuwa c.e.o wa wasafi, Regnald mengi pia na yeye hamiliki hisa asilimia 100 za ipp media kwasababu kuna wamiliki wengine,,,,Ndivyo biashara inavyofanyika
punguza chuki kwa Domo kila kitu chake una pinga alikukosea wapiHio karatasi tu je kama kuna mikataba ya siri inayombana jamaa fulani kutoka kumiliki asilimia kubwa mpaka ndogo zinazosemwa. Mjini hapa
punguza chuki kwa Domo kila kitu chake una pinga alikukosea wapi
Ghorofa la Instagram?Sasahivi anaishi kwenye ghorofa bhana
Domo anajua kucheza na mitandao.Watu wanapagawa na maisha yake ya kwenye mitandao...Hajajiulizi kama ni Bilionea kweli kwanini mpaka Leo nyumba yake inayojulikana mpaka anaiimba kwenye nyimbo zake za Utanipenda na Baila ni Ile Ile ya Madale kwanini hana nyumba nyingine?!
Gari ya ndoto zake ni Royce Rolls kwanini kama kweli ni Bilionea mpaka Leo hana hiyo gari?!
ambayo itamfanya amiliki kitu kidogo, hivi unadhani waanzishayo makampuni ambayo baadae wakuja wanamiliki hisa nyingi zaidi n wapumbavu!!!Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Unataka kusema nini mzee?Halafu huo uwekezaji ni Wasafi TV pekee, si Wasafi yote kwa ujumla
Mke na mume si ni mwili mmoja? Anachomiliki mme na mke ni halali yakeWewe je unapata ngap mleta post?
Jamaa hater sana kwa domoHahaha..Unavyorudia kiwanja cha 25x25 kwa kujiamini nahisi kwenye dili la udalali ulipiga pesa na hata upana wa kiwanja ulipima kwa miguu yako mwenyewe.
The hate is real!Hio karatasi tu je kama kuna mikataba ya siri inayombana jamaa fulani kutoka kumiliki asilimia kubwa mpaka ndogo zinazosemwa. Mjini hapa
The hate is real!
Acha mambo haya Numby bana..
Ni kweli, hayo makaratasi tu... mkataba wa siri unaonesha Kusaga anamiliki 92% na Diamond 8%...!!!Hio karatasi tu je kama kuna mikataba ya siri inayombana jamaa fulani kutoka kumiliki asilimia kubwa mpaka ndogo zinazosemwa. Mjini hapa
Basi samahani mamaBora kuwa hater ili nione ID zenu enzi namsifia hata likes zenu sikuziona ila saiv napata kila aina ya quotes mpo vizuri
Kusaga anamuhitaji zaidi diamond kwenye biashara kuliko diamond anavyomuitaji kusaga imagine akiondoka diamond ikawa Kusaga tv itakuaje?Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.
Hahaha naona umeamua kumsikilizisha anachotaka kusikia?Ni kweli, hayo makaratasi tu... mkataba wa siri unaonesha Kusaga anamiliki 92% na Diamond 8%...!!!