Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
Wew huelewi. Ishaambiwa hiyo 45 ni under diamond's name alafu unataja kina babu tale. Hizo 45 sio group share ni personal share
 
Ukitaka ufike mbali ni lazima ushirikiane na watu, Mark zuckbereg aliegundua facebook yeye ana asilimia 25 tu na ni c.e.o wa facebook kama ilivyo kwa diamond kuwa c.e.o wa wasafi, Regnald mengi pia na yeye hamiliki hisa asilimia 100 za ipp media kwasababu kuna wamiliki wengine,,,,Ndivyo biashara inavyofanyika
Hiyo inaitwa risk sharing mkuu. Ina maana hata kampuni ilipata hasara mnapata wote. Huwezi miliki peke yako alafu ukipata hasara unapata wew tu
 
Watu wanapagawa na maisha yake ya kwenye mitandao...Hajajiulizi kama ni Bilionea kweli kwanini mpaka Leo nyumba yake inayojulikana mpaka anaiimba kwenye nyimbo zake za Utanipenda na Baila ni Ile Ile ya Madale kwanini hana nyumba nyingine?!

Gari ya ndoto zake ni Royce Rolls kwanini kama kweli ni Bilionea mpaka Leo hana hiyo gari?!
Domo anajua kucheza na mitandao.
 
Kijana kajitahidi ingawa ndo kishauza brand, hiyo 450 anayopata bado hajagawana na kina babu tale, salaam, mkubwa fella n.k. Ajitahidi siku moja amiliki kitu chake kwa asilimia mia.
ambayo itamfanya amiliki kitu kidogo, hivi unadhani waanzishayo makampuni ambayo baadae wakuja wanamiliki hisa nyingi zaidi n wapumbavu!!!

wanafanya hivyo ili kuwa na kitu kikubwa
 
Ila kusaga ndo mwenye Sauti...! Kama aligombana na ndugu zakee bhasi ipo siku watagombana na diamond piaa pesaa mwanaharamuu... Diamond hayupo salama kabisaaaaa yani aache kujifanya mjanja.
Kusaga anamuhitaji zaidi diamond kwenye biashara kuliko diamond anavyomuitaji kusaga imagine akiondoka diamond ikawa Kusaga tv itakuaje?
 
Back
Top Bottom