Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna aliyekataa ila watu walikataa ratio 90% kwa 10.Aya wale waliokua wanakataa uwekezaji wa Joe Kusaga Wasafi mko wapi.
Hii ni kama Facebook,instagram na WhatsApp
Vichwa wamemuachia mange, wamebaki na viwiliwili.Yule mange mwongo sana sanaa wale fans wake n kama misukule.....
walibeba wali kwenye mashati
Acheni kusogeza magoli nyie watu! Hoja iliyokuwa ina-hit sio umiliki wa Kusaga bali umiliki wa Diamond mliokuwa mnasema 2%!Aya wale waliokua wanakataa uwekezaji wa Joe Kusaga Wasafi mko wapi.
Hii ni kama Facebook,instagram na WhatsApp
Da' Mange alisema Kusaga 92% na Mond 8% na misukule yake ikaamini bila kufanya tafakuri kidogo!Mange kaumbuka eti kusaga 90% mondi 10.
Utapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]Joe 45%
Mrs Joe 53%
Mond 2%
Ukitaka ushahidi zaidi nifate PM nyaraka zingine hazifai kumwagwa hapa.