Ubitozi huu wa suruali za wavulana wa Sekondari ni wa kipumbavu kuliko Enzi zetu

Ww umenena vyema kila zama na kitabu chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli son of bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Elimu ya Tambaza ndio shule nayoikumbua hadi leo aisee kuliko hata ya university,ilikuwa ni tamu na ya kisela sana
 
Dah. Big up mkuu, we kweli maana umenikumbusha mbali balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

mimi ni kijana lakini hii tabia ya vijana wenzangu kuvaa suruali fupi na zinazobana wanakwama sana, kwanza wengi haziwapendezi kabisa hua nawashangaa
NB
sijapinga modo hata mimi ninazo, nazungumzia vile vi suruali unakuta kinambana mtu mpaka basi , kuna jamaa nilikutana nae town kimembana makalio , nyuma kulikua na wadada walicheka sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uhuni sio sifa.
 
Dah! Umenikumbusha Geita secondary school miaka ya 90's to early 20's kuna genge la wahuni lili sumbua sana hio shule likiongonzwa na jamaa mmoja alikua anaitwa Kiomo (RIP) , Ommy, Black fire, Kolokonso, Tobby, Muddy Mc na majamaa wengine , hao jamaa walikua wakianzisha mtiti hakuna wa kuutuliza ajabu ni kwamba darasani walikua bright kinyama nlikua bado mdogo sana enzi hizo nikawa nasikia mabalaa yao , maisha yana kwenda mbio sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha hiyo surual ya pisto

Nilikuwa nayo mwalimu mkuu akanipiga stop ilikuwaga ya kipekee saa inashika kwenye magoti afu chini inamwaga flan hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…