- Thread starter
- #21
Kile kiplastiki kinafunguka ukizungusha kinazunguka kutoka kulia kwenda kushoto ila kama hujui ndio unaumia kisu au spana kama fundi makanikaNa siku hizi uki badilisha gas ule mtungi kwa juu wame weka kifuniko kigumu kukitoa sijui ndo wana taka tutumie visu tufe haraka[emoji81][emoji81]