inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kinauzwa 10 eti,wakati 2012 Cha mjapani na mhindi kiliuzwa 30,Sasa hivi havipoKweli aisee juzi kati kuna binti wa kazi akati anazima gesi kikakatika afu moto ukajiongeza, ikabidi akimbie nje kuita watu, tukatoa jiko nje, tukalifunika na sufuria ndipo likazima, ikabidi kichuma kibadilishwe, vibovu sana hivi vichuma