Ubora hafifu wa vichuma vya kufungua na kufunga gesi kwenye mitungi midogo

Na siku hizi uki badilisha gas ule mtungi kwa juu wame weka kifuniko kigumu kukitoa sijui ndo wana taka tutumie visu tufe haraka[emoji81][emoji81]
Kile kiplastiki kinafunguka ukizungusha kinazunguka kutoka kulia kwenda kushoto ila kama hujui ndio unaumia kisu au spana kama fundi makanika
 
Asante kwa kujua hilo jina pia itabidi kuangalia vilivyo imara.
Nadhani zinaitwa burner, na kuna page niliona insta wanauza burner nzuri, bei ilikuwa kama 20k hivi, wanasema haziweki kutu
 
Picha mkuu
 
ubora ni pesa yako tu. vipo vya tshs. 5,000/- havimalizi miezi sita vinakuwa vishaharibika na kuanza kuvujisha gesi na vipo vya elfu 15 ndo mwisho wa matatizo. wewe ulinunua cha tshs ngapi?
Kumbe vipo hadi vya elf 5 hii hatari mbona.
 
Sijui kama inaonekana vizuri.
 

Attachments

  • 20220611_095256.jpg
    143.3 KB · Views: 7
Kweli aisee juzi kati kuna binti wa kazi akati anazima gesi kikakatika afu moto ukajiongeza, ikabidi akimbie nje kuita watu, tukatoa jiko nje, tukalifunika na sufuria ndipo likazima, ikabidi kichuma kibadilishwe, vibovu sana hivi vichuma
ikabidi akimbie nje kuita watu, tukatoa jiko nje, tukalifunika na sufuria ndipo likazima

Ni bora ukae na mchanga karibu wakati unalitoa nje lingelipuka je???
 
Kama unazungumzia burner hakikisha isilegee iwe imetight alafu ukishaitumia ukiona imekuwa nyeusi ibadilishe maana baada ya hapo itashika kutu alafu itatoboka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…