inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Jun 11, 2022 #41 2018 said: Kweli aisee juzi kati kuna binti wa kazi akati anazima gesi kikakatika afu moto ukajiongeza, ikabidi akimbie nje kuita watu, tukatoa jiko nje, tukalifunika na sufuria ndipo likazima, ikabidi kichuma kibadilishwe, vibovu sana hivi vichuma Click to expand... Kinauzwa 10 eti,wakati 2012 Cha mjapani na mhindi kiliuzwa 30,Sasa hivi havipo
2018 said: Kweli aisee juzi kati kuna binti wa kazi akati anazima gesi kikakatika afu moto ukajiongeza, ikabidi akimbie nje kuita watu, tukatoa jiko nje, tukalifunika na sufuria ndipo likazima, ikabidi kichuma kibadilishwe, vibovu sana hivi vichuma Click to expand... Kinauzwa 10 eti,wakati 2012 Cha mjapani na mhindi kiliuzwa 30,Sasa hivi havipo
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,052 Reaction score 585 Jun 12, 2022 #42 Mamlaka ifanyie kazi
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 Jun 12, 2022 Thread starter #43 Sio kidogo yaani wafuatilie hivi vichuma kuna siku utaambiwa mpaka cha buku unapata. Karao said: Mamlaka ifanyie kazi Click to expand...
Sio kidogo yaani wafuatilie hivi vichuma kuna siku utaambiwa mpaka cha buku unapata. Karao said: Mamlaka ifanyie kazi Click to expand...