Ubora na Udhaifu wa SPACIO

Ubora na Udhaifu wa SPACIO

Me ninayo sijutii kwa kweli nikiweka full tank from kyela to Songea nafika Mafuta yamebaki robo tank kinachonifurahisha ni uwezo wa kubeba vitu vingi bonnet safi Gari ina Nguvu safi mno hakika sijutiii ni CC 1490
Engine ni kama ya IST tu ndio maana mwendo mdundo tena ukipata ya vvt-i ndio dah, mwendo mchubuyu
 
Back
Top Bottom