Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Engine ni kama ya IST tu ndio maana mwendo mdundo tena ukipata ya vvt-i ndio dah, mwendo mchubuyuMe ninayo sijutii kwa kweli nikiweka full tank from kyela to Songea nafika Mafuta yamebaki robo tank kinachonifurahisha ni uwezo wa kubeba vitu vingi bonnet safi Gari ina Nguvu safi mno hakika sijutiii ni CC 1490