Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Feb 16, 2018 #21 Mwanyoro said: Me ninayo sijutii kwa kweli nikiweka full tank from kyela to Songea nafika Mafuta yamebaki robo tank kinachonifurahisha ni uwezo wa kubeba vitu vingi bonnet safi Gari ina Nguvu safi mno hakika sijutiii ni CC 1490 Click to expand... Engine ni kama ya IST tu ndio maana mwendo mdundo tena ukipata ya vvt-i ndio dah, mwendo mchubuyu
Mwanyoro said: Me ninayo sijutii kwa kweli nikiweka full tank from kyela to Songea nafika Mafuta yamebaki robo tank kinachonifurahisha ni uwezo wa kubeba vitu vingi bonnet safi Gari ina Nguvu safi mno hakika sijutiii ni CC 1490 Click to expand... Engine ni kama ya IST tu ndio maana mwendo mdundo tena ukipata ya vvt-i ndio dah, mwendo mchubuyu