chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 396
Duh aisee Asante mkuu...Kwa spea, wese na rough umepata gari. Ila, power, speed na status sahau Asante.
Mimi Nina Suzuki Vitara, spea na wese ni hatari. Ila nang'oa mademu Kama mchezo vileDuh aisee Asante mkuu...
Hahaha dah..... Umetisha mkuuMimi Nina Suzuki Vitara, spea na wese ni hatari. Ila nang'oa mademu Kama mchezo vile
Hata mi nimefungua huu uzi nikidhan jamaa anazungumzia hakaView attachment 2335264
nikajua ni hii,hivi haka kamechangamka eh???
Kana mwonekano wa Jeep,kazuri sanaView attachment 2335264
nikajua ni hii,hivi haka kamechangamka eh???
Bei yake inakaribia bajeti ya halmashauri ya Kaliua.Kana mwonekano wa Jeep,kazuri sana
Na vingi vipo kwenye halmashauri mara ya kwanza nnaiona hyo gari manispaa ya kinondoni wanavyo vingiBei yake inakaribia bajeti ya halmashauri ya Kaliua.
wanastahili, meya tu anatembelea V8 latest. Makusanyo ya kinondoni si ya mchezo. Huwez kulinganisha na halmashauri yenu ya IkwiririNa vingi vipo kwenye halmashauri mara ya kwanza nnaiona hyo gari manispaa ya kinondoni wanavyo vingi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Au halmashauri yenu ya kalambo.wanastahili, meya tu anatembelea V8 latest. Makusanyo ya kinondoni si ya mchezo. Huwez kulinganisha na halmashauri yenu ya Ikwiriri
Muongozo ni Kuandaa 85m TZS ukalipie CFAONgoja waje kukupa muongozo...