Ubora na udhaifu wa Suzuki Jimmy Wide

Ubora na udhaifu wa Suzuki Jimmy Wide

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
396
Nahitaji Kagari cha mizunguko ya Mjini na Visafari vichache vya mikoani,

Baadhi ya Maeneo nitakayofika yana Rough and Aggressive Roads.

Hiki kisuzuki kina cc 1300 na kipo juu kiasi kwamba kinaweza kuhimili hizo mbilinge.

Shida ni kwamba siwajui sana Suzuki kwenye ishu za Changamoto na Ubora,

Tafadhali Wajuvi wa Hizi mambo hebu nielimisheni kidogo Ama namna gani Wajameni.

images.jpg
Screenshot_20220826-075311_1.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-075311_1.jpg
    Screenshot_20220826-075311_1.jpg
    29.8 KB · Views: 41
  • Screenshot_20220826-080439_1.jpg
    Screenshot_20220826-080439_1.jpg
    25.5 KB · Views: 42
hizo chuma makini sana hasa kama hauna mambo mengi ya vijana wew andaa tu fuba la kutosha huwa yanauzwa ghali
 
Back
Top Bottom