Ubora wa Clement Mzize ni juhudi za Kupambana kwa bidii

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,984
Reaction score
189,583
Habari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.

Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.

Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.

Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.

Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?

Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.

Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.

Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Screenshot_20250702-170545.png
 
bado ana kazi yakufanya anaweza kwenda nchi nyingine na asicheze kama alivyo huku bongo, bongo ligi dhaifu sana mku
 
Mzize kama sio kwamba ana waganga wazuri

Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu

Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
 
Inawezekana alikuwa anajituma kwenye mazoezi
 
Mzize kama sio kwamba ana waganga wazuri

Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu

Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
vipi kibu Denis hakuvumilia?
 
Mzize tayari kajipata, ile staili ya kuvizia na kuchomoka mabeki kaiweza balaa kama lile goli alilowatungua makolo ni classic, hakika Mzize ni tegemeo kubwa jangwani kwasasa huyu si wa kuuza, ila bado ana shida kubwa sana tatu

moja ni kushindwa kuinua uso na kutoa assist hata anapokuwa kabanwa, huu uchoyo wa kulazimisha kufunga ili uto tumsifie unaigharimu sana Yanga amfanye Chama kuwa role model wake, Chama anajua wakati wa kufunga na wakati wa kutoa assist,

mbili kosa kubwa la Mzize ni kukosa umakini wa kulenga lango anapopiga, ana papara mno kwenye box , haraka ya nini Mzize ushamiliki mpira ndani ya box ukiangushwa ni penati , kijana anapaisha mno mipira kama ile nafasi tukicheza na Mamelodi alikosa goli la wazi mno kwa papara, afanye sana mazoezi kulenga goli boli anajua

na tatu ni kijana kulazimisha kwenda mbele na mpira peke yake na kujaribu kuupita msitu wa mabeki, hicho kitu Mzize bado sana hiyo ni talent ya Pacome tu au Mpanzu wa makolo, Mzize yeye ni mzuri one against one aongeze bidii hapo.

Otherwise Mzize akumbuke Yanga ni timu na umoja wao uwanjani ndio ushindi wao, hakika Yanga tuna bahati sana kuwa na bonge la mchezaji kama Mzize, ametupa heshima na furaha isiyo kifani kwa kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la farasi aina ya Simba aliekuwa akipiga the last kick! Maua mengi mno kwa Mzize.
 
Habari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.

Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.

Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.

Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.

Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?

Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.

Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.

Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.View attachment 3391476
Mnazungumzia ubora wa Mzize Kimataifa au ki Ligi ya kibongobongo?
 
Binafsi namshauri aendelee kukaza msuli ili siku moja afikie kile kiwango cha Fiston Mayele wa msimu wa mwisho kabla ya kuondoka Yanga.
 
Habari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.

Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.

Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.

Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.

Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?

Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.

Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.

Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.p
Pongezi ziende zaidi kwa kocha NABI, na yule Muargentina GAMONDI na Uongozi wa Yanga kwanza kumvumilia kupita kiasi.
 
bado ana kazi yakufanya anaweza kwenda nchi nyingine na asicheze kama alivyo huku bongo, bongo ligi dhaifu sana mku
Ni Mchezaji Mzuri Ambaye Kwa Sasa Yamebaki Mchache Ambayo Hata Kwa Wachezaji Bora Hayakosekani Mapungufu
 
Mzize kama sio kwamba ana waganga wazuri

Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu

Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
Makocha Wanaona Ubora Wake Kwenye Viwanja Vya Mazoezi Ndio Maana Walikuwa Anaaminiwa
 
Back
Top Bottom