Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
bado ana kazi yakufanya anaweza kwenda nchi nyingine na asicheze kama alivyo huku bongo, bongo ligi dhaifu sana mkuHabari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.
Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.
Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.
Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.
Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?
Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.
Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.
Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Hata champions league alijitahidibado ana kazi yakufanya anaweza kwenda nchi nyingine na asicheze kama alivyo huku bongo, bongo ligi dhaifu sana mku
Inawezekana alikuwa anajituma kwenye mazoeziMzize kama sio kwamba ana waganga wazuri
Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu
Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
vipi kibu Denis hakuvumilia?Mzize kama sio kwamba ana waganga wazuri
Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu
Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
Kibu denis walimpendea uwezo wa kumiliki mpira na kupunguza watu na kufosi kuingia kwenye bokisivipi kibu Denis hakuvumilia?
Mimi sio mzima mkuu Ex wangu anamimba isiyo yangu.NiombeeniWote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.
Mnazungumzia ubora wa Mzize Kimataifa au ki Ligi ya kibongobongo?Habari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.
Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.
Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.
Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.
Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?
Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.
Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.
Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.View attachment 3391476
Pongezi ziende zaidi kwa kocha NABI, na yule Muargentina GAMONDI na Uongozi wa Yanga kwanza kumvumilia kupita kiasi.Habari.
Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu.
Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani.
Clement Mzize amekuwa akifanya vizuri sana Kwa sasa hata kwa takwimu zinaonekana mbali na ubunifu ulioungana na unyumbulifu wa stadi ulioambatana na kipaji kilichoongezwa bidii.
Huyu Clement Mzize wa sasa Ubora na umahili wake unaonekna baada ya Juhudi na bidii na sasa mpira safi unaonekana awapo uwanjani, amekuwa mchezaji machachali kweli kweli na bora zaidi.
Ila mnamkumbuka Clement Mzize baada ya mechi ya Young Africans Vs Mamelod Sundowns mkondo wa kwanza Ligi ya mabingwa Africa baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya bila kufungana?
Clement Mzize alipigwa vita vikali na hata Baadhi ya watu Kusema anatakiwa kuondolewa hata kwa mkopo baada ya kukosa magoli mengi kwenye mechi hiyo.
Clement Mzize alijifunza na kutulia Hadi Sasa tumeanza kuona makali yake pamoja na Ubora wake akiwa Young Africans.
Hilo ni funzo kwa wachezaji wetu wengine wazawa wajifunze kwa kinda mdogo Clement Mzize.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.p
Ni Mchezaji Mzuri Ambaye Kwa Sasa Yamebaki Mchache Ambayo Hata Kwa Wachezaji Bora Hayakosekani Mapungufubado ana kazi yakufanya anaweza kwenda nchi nyingine na asicheze kama alivyo huku bongo, bongo ligi dhaifu sana mku
Speed & AggressiveHata champions league alijitahidi
Makocha Wanaona Ubora Wake Kwenye Viwanja Vya Mazoezi Ndio Maana Walikuwa AnaaminiwaMzize kama sio kwamba ana waganga wazuri
Maana kuaminiwa na makocha wawili wa kigeni wanakupa nafas na kila siku unakosa magoli mengi mengi tu hiki kilikuwa ni kitu cha ajabu kukishuhudia kwenye ligi yetu ambayo watu hawana uvumilivu
Lakin cha ajabu mzize aliweza kuvumiliwa mpaka akawa mzuri
Hakika Naunga Mkono Hapo MkuuInawezekana alikuwa anajituma kwenye mazoezi
Goal Moja Kwa Misimu 3😂vipi kibu Denis hakuvumilia?
Shukrani Kwa Kupata Mtoto Wa Kulea Maana Labda Angekataliwa Huko.Mimi sio mzima mkuu Ex wangu anamimba isiyo yangu.Niombeeni
Kote Mkuu Sema Msimu Uliopita Young Africans Hakufika Mbali Ila Ubora Wake UnaonekanaMnazungumzia ubora wa Mzize Kimataifa au ki Ligi ya kibongobongo?