Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

Nairobi university na makerere ndo the best in EA asikudanganye m2,UDSM zamani
sasa we umesoma cjui muccobs,ubora wa ud utaujulia wap mkuu?tanzania kuna vyuo vkuu viwil,ud na sua,atleast mzumbe,udom,ifm,muhas na ardhi nao wanafanya vzr!hvo vlvobaki haijulikan kama ni vyuo au secondary,hutaki chukua bango uandamane..
 
ok,piga msuli wa nguvu,ufaulu vzr ili nawe ubahatike kukanyaga udsm,otherwise st joseph patakuhusu.
inamana St. Joseph ni ya waliofel? Kwamba hakuna wenye dvshn one, two or three zao za A level? Eti we ndo msomi, mentor, guider wa walio chini yako! Dah kweli Schooling is nothing as it makes ppo more stupid as hosptalz makes patient mor ck!
 
sasa we umesoma cjui muccobs,ubora wa ud utaujulia wap mkuu?tanzania kuna vyuo vkuu viwil,ud na sua,atleast mzumbe,udom,ifm,muhas na ardhi nao wanafanya vzr!hvo vlvobaki haijulikan kama ni vyuo au secondary,hutaki chukua bango uandamane..
we ni case mojawapo ya m2 kusoma na kuzid kuwa mjinga na mpumbavu
 
mbona maneno mengi unamaanisha udom na udsm ni sawa?
 
UDSM is th best in East Africa kwa vigezo vipi jamani? get serious mnapenda mpaka mnasahau ukweli,its th best coz @kina miaka mingi@wanaenroll madent wengi kuliko facility za madarasa na hostel,tuweke wazi tujue
kama unaongelea majengo meupe yenye kung'aa basi udom ni bora E.A,lakin ukiconsider knowledge na ubora wa maticha,ud ni wakari,angalia ubora wa vyuo vikuu,UD ni ya 13, Sua tisini na zaid hakuna chuo kingine,kwa mantik hiyo ata dunia inakikubari chuo hiki.
 
shangaa ji2 limesoma cjui muccobs au huko st joseph linakiponda.....
 
we ni case mojawapo ya m2 kusoma na kuzid kuwa mjinga na mpumbavu
kwi kwi kwi,naona hasira zako za kushindwa kufika udsm umeamua kuniletea mie...wasalimie muccobs.
 
kwi kwi kwi,naona hasira zako za kushindwa kufika udsm umeamua kuniletea mie...wasalimie muccobs.
sasa naona unanzid kwa vjembe na mipasho cjui ndo mnachofundshwa hapo mliman,nway 2takutana kwenye soko la ajira
 
C vyote ving'aavyo ni dhahabu,poleni mna mawazo mgando
 

Statement kama yako haiwezekani kuwa imetolewa na mtu mwenye akili timamu. Wewe unautapia mlo wa akili
 
i fail to understand watu wa udsm leo hii wanaponda chuo kama muhimbili??? Udsm mmebakia na coet peke yake,, faculty nyingine zote ni uozo, labda angalau na law kidoogo... Ila for sure, trust me guyz, nimemuajiri mtu wa st.joseph computer science ofisini kwangu juzi tu hapa afta firing a graduate from udsm ambaye alikua hajui kitu kabisaaaaa,,,, udsm hakuna kituu,, hakuna proffesionalism,,, udsm ilikua inabebwa na muhimbili na uclas, but after kutengana, udsm is very poor,, hakuna proffesionalism,, sua is much more better, st. Joseph is even much more further better
 
Jaman 2sidanganyane, cut off point ya st. Joseph kwa engineering ni 4.5 na Udsm kwa engineering ni 2.5. Ila st. Joseph wanautaratibu wa kupokea wa2 wenye 2.0, thn wanasoma coz maalum ya miez mi3, unapo faulu ndo unaingia main coz ya engineering. Ukiangalia kwa hzo cut off point utagundua kuwa st. Joseph wana pokea wanafunz wazur zaid kuliko Udsm. Hata ukihoji kwa wale wasema kwel wa'UDSM watakwambia kuwa nw pale elim imekuwa ya makaratas zaid na si vitendo kwa engineering! Midahalo mingi ya utafiti kati ya Udsm na DIT, DIT huwa wanawazidi Udsm. Nadhan mnafaham hata hizi taa za barabaran hapa jijin ni project ya DIT. Wahazir wa DIT wanashirikiana sana na wa st. Joseph, wanafunz wanafaham hlo kwan hata baadh ya workshop huwa wana'share. Kwa engineering bora, hapa tanzania vyuo ni DIT, st. Joseph na MIST. Kwani ha2on maendeleo ya technology kwa nchi ya INDIA? Vtabu vngap vya scienc kwa advanc level na university wahandish wahind!? Leo opareshen kubwa za mwil zinafanyika India. 2we 2nafanya tafit kabla ya kuleta mada kujadiliwa!
 
usiogope,udsm the best varsity in Ea..

tunafanaya kazi na magraduate waliotoka hapo UDSM.... kwa taarifa yako.. ni wavivu.. wazembe.... kujieleza hawajui..... hawajiamini.... wanaviburi et kisa tu wametoka hicho chuo.. . kifupi sio wachapa kazi wazuri.. 24 hrs huwaza migomo tu.
 
tunafanaya kazi na magraduate waliotoka hapo UDSM.... kwa taarifa yako.. ni wavivu.. wazembe.... kujieleza hawajui..... hawajiamini.... wanaviburi et kisa tu wametoka hicho chuo.. . kifupi sio wachapa kazi wazuri.. 24 hrs huwaza migomo tu.
sio kweli!
 
Umebuni nini kumkomboa maskini afaidi usomi wako? Wewe ni msomi mfungwa ambaye maswala ya taaluma bora umeijenga kwenye ukongwe wa kitu,kamwe siasa haiepukiki we mwenyewe kada kama cvyo wee mbumbumbu ucye elewa nchi yako inaendaje,sasa jitambue huko sawa ki fikra kama great thinker hukupaswa u argue kilemavu hivyo ktk bunge la wasomi.
 
menny terry mawazo yako ya kijinga sijawahi kutana nayo kabla, kazi ya TCU inapanga mtu chuo chochote imladi amequalify vigeo vyao hata div. 3 UDSM zipo zaidi ya hapo kuna kozi kama SOFTWARE ENGINEER UDSM hakuna so hata ukipata div. 1 ya 7 utaenda UDOM tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…