Sijui mmemuelewa mtoa mada? Anazungumzia st joseph na udom. Ngoja niwape siri, watanzania wengi hawaijui. St joseph hakuna chuo pale, nchi inaibiwa. Kama una ndugu yako anataka kwenda mwambie aache kabisa. Tatizo sisi tunathamini sana ngozi nyeupe, wale wahindi wote matapeli wana elimu za ku unga unga na hawana vigezo kabisa. Wanafunzi wamejaziwa syllabus, units 5 kwa semister na ratiba ngumu kila siku darasani for 8hrs tena kwa kuitwa majina utadhani primary! Mbaya zaidi mitihani lukuki jst to kip them busy wasiweze ku mobilize. Chuo hakina facilities, hata website tu ya chuo hakuna. Internet hakuna, ada juu 1.75m per yr, michango kibao nje ya ada pia usahishaji mbovu wa mitihani. Mwenye mwandiko mzuri na anae remba ndo anafaulu bila kujali utumbo alioandika, upendeleo kwa wasichana uliopita kiasi wakiandika namba ya mtihani tu washafaulu ! Jamaa ni mafia, wanatumia kigezo cha dini kuficha makucha, wanahonga bahasha nacte, usalama wa taifa, tcu, bodi na wizarani, wanatumia vyombo vya habari kujitangaza na mabango mtaani. Kuna kipindi waliweka bango posta likionesha chuo chao kina jengo zuri sana la ghorofa 4 wakati halikuwepo! Na bado, nchi italiwa mpaka basi !