Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

Wa2 walosoma oxford au havard hawanaga dharau kwa wenzao lakn m2 kusoma mzumbe,iaa,sua na kwngne ndo anakuja kumkashfu m2 wa udom na st joseph,hamuwatendei haki hao jamaa.

kaka usipendelee kutoa comment kivivu hivyo wewe ushawai kuongea na hao wa oxford au ndo unataka kujenga theory mpya???........unapokuja hapa just remember upo na ma-great thinkers so toa vitu vinavyoendana na wanajukwaa kama vyuo vibovu tukikaa kimya watu watajua vipi mapungufu ya hicho chuo si ndo mwanzo wa wazazi kung'ang'aniza watoto wao wachague kwa ajili ya ile mijengo mipya kumbe hakuna kitu kinachotolewa zaidi ya kuzidisha wasomi vivuli,so we are here to speak out about the real issue that is going on there "madudu matupu".
 
chuo kikuu kinasajiliwa na TCU si NACTE

kaka ni vizuri ukawa msomaji mzuri wa miongozo kabla ya kuandika... nenda kasome NACTE ni nin na TCU ni nini... na nini tofauti yao... it better you keep quite so ppl can think your a FOOL rather than open you mouth and assure them u real are....
 
niliwahi kusema humu na nina rudia tena.. "chuo unachosoma sio ishu.... ishu ni akili kumkichwa...ziimoo.. kama wewe ni manafunzi fake ndio tatizo... tatizo sio chuo"...

Chuo kina nafasi kubwa kumwandaa muhitimu wa degree,isingekuwa hvyo tungekuwa tunakaa nyumban 2nasoma wanazoziita tuition muda ukifika 2na2nukiwa degree. Na kumbuka ndugu 2naposema chuo hatumaanishi majengo,la hasha! 2naongelea miundombinu,wahadhiri wenye sifa,zana za kufundishia na mengne yanayoendana. Ubora wa chuo 2napima ubora wa vi2 hvyo, kama vina ubora uliopangwa na TCU ndo 2nasema chuo fulani ni bora..
 
Wachangiaji wote mna munkari (hasira). Nampongeza alietwambia kuwa chuo cha mtu ni uwezo wako kupambanua jambo na utendaji kaz wako. Sasa nyie mnao ng'ang'ania kuwa UDSM ndicho chuo pekee mnaikashifu TCU. Na pia nimeona wengi wamemaliza hapo UDSM bado wanasota mtaani. Kuzaa ni kazi rahisi kazi kulea mwana. Completing a university degree is not a deal, what matters is on how to defend ur professional.
 
oyaah mbona hueleweki wewe....kila siku ni mada kuhusu udom,njoo na point za msingi na sio kukalili tu....we umesoma wapi mdogo wangu.kwa ninavyokumbuka pindi nipo pale udsm kulikua kuna watu wengi sana ambao walikua ni high thinkers,tulikua hatushindani na university yoyote hapa bongo zaidi ya kuja na creatve idea.....pamoja na iyo elimu yako bora uliyopata...umeishalifanyia nini taifa....punguza kukalili dogo,kumjua mtu mwy elimu bora ni kwa jinsi anavyo tafakari mambo na si kuleta elimu ya yanga na simba.
 
waambie bana.
 
Chuo kina nafasi kubwa kumwandaa muhitimu wa degree,isingekuwa hvyo tungekuwa tunakaa nyumban 2nasoma wanazoziita tuition muda ukifika 2na2nukiwa degree. Na kumbuka ndugu 2naposema chuo hatumaanishi majengo,la hasha! 2naongelea miundombinu,wahadhiri wenye sifa,zana za kufundishia na mengne yanayoendana. Ubora wa chuo 2napima ubora wa vi2 hvyo, kama vina ubora uliopangwa na TCU ndo 2nasema chuo fulani ni bora..

Open university....!!!!!
 
Udom kimbilio la waliofeli, IQ zero kichwani.
 
Rafiki acha kusema hivyo bwana,una uhakika gan kama wanaosoma vyuo vingine ziko fresh?
Wanaochaguliwa kwenda UDOM ni kama wewe unayesoma chuo kingine na usishangae wanakuzidi hyo unayoiita IQ, tunachoongelea hapa ni uendeshaji mzima wa shughuli za chuoni.
 
Wachangiaji wote mna munkari (hasira). Nampongeza alietwambia kuwa chuo cha mtu ni uwezo wako kupambanua jambo na utendaji kaz wako. Sasa nyie mnao ng'ang'ania kuwa UDSM ndicho chuo pekee mnaikashifu TCU. Na pia nimeona wengi wamemaliza hapo UDSM bado wanasota mtaani. Kuzaa ni kazi rahisi kazi kulea mwana. Completing a university degree is not a deal, what matters is on how to defend ur professional.

Mkolosai uko sawa kabisa watu wanakariri UDSM wanashindwa kulinganisha uwezo wa output ya vyuo, ya kwamba ni muhtimu gani anaweza kufit katika soko la ajira! Je, ni yule aliyemaliza chuo chenye jina kubwa au aliyena uwezo wa kutenda kazi kutetea degree yake! Siku hizi naona wahitimu wa SAUT wanasoko kubwa kulingana na uwezo mkubwa wanaokuwa nao kiutendaji na sio kwa kusoma chuo chenye jina kubwa.
 
Rafiki acha kusema hivyo bwana,una uhakika gan kama wanaosoma vyuo vingine ziko fresh?
Wanaochaguliwa kwenda UDOM ni kama wewe unayesoma chuo kingine na usishangae wanakuzidi hyo unayoiita IQ, tunachoongelea hapa ni uendeshaji mzima wa shughuli za chuoni.

chuo nimeshamaliza. Ila nafanya comparison na vyuo vingine vya serikali. Udom hakuna kitu pale. Siasa tupu.
 
Mkolosai uko sawa kabisa watu wanakariri UDSM wanashindwa kulinganisha uwezo wa output ya vyuo, ya kwamba ni muhtimu gani anaweza kufit katika soko la ajira! Je, ni yule aliyemaliza chuo chenye jina kubwa au aliyena uwezo wa kutenda kazi kutetea degree yake! Siku hizi naona wahitimu wa SAUT wanasoko kubwa kulingana na uwezo mkubwa wanaokuwa nao kiutendaji na sio kwa kusoma chuo chenye jina kubwa.

chuo kinakujengea uwezo. Unadhani udom kweli utapata kitu. Acha ushabiki.
 
Mkolosai uko sawa kabisa watu wanakariri UDSM wanashindwa kulinganisha uwezo wa output ya vyuo, ya kwamba ni muhtimu gani anaweza kufit katika soko la ajira! Je, ni yule aliyemaliza chuo chenye jina kubwa au aliyena uwezo wa kutenda kazi kutetea degree yake! Siku hizi naona wahitimu wa SAUT wanasoko kubwa kulingana na uwezo mkubwa wanaokuwa nao kiutendaji na sio kwa kusoma chuo chenye jina kubwa.

Kaka acha kutoa taarifa za uongo hapo hao graduates wa SAUT wengi wapo kitaa tu hawana mishe na hata ukija kwenye ishu za mgongano wa mawazo wanachojua wao ni mambo ya udini tu tena sanasana upatoriki mwingi ila ishu zingine za kijamii huwa wanabwabwaja tu point zero sasa akienda kwenye usahili si ndo itakuwa balaa kabisa na kuna job vacancy watu wa SAUT na UDOM huwa wanakuwa excluded ili wasipotezee watu mda kwenye ishu za usahili maana hawawezi kupata kazi.
 
MODs, naomben mtuondolee hii thread, coz sasa naona ishakuwa taarabu. Kero tupu. Haitujengi kwa lolote.
 
Natabir ipo cku wa2 watadundana humu kisa vyuo.
 
wewe inawezekana una umetunikiwa degree ya ujinga kwa kweli hata mimi nimepta udsm kpnd icho kulikua hakuna vilaza km wewe,hivi hapo udsm mnaishi vp mbona wa luga luga wamekua wengi sana....wana kuja na idea za kijinga sana kwn mitandao ya kijamii.
 
Tatiza la sisi watanzania ni ushabiki kama ww menny terry,hivi kusoma udsm ndounapata ajira siku ya kuhitimu ujue matatizo ya udom sio wanafunzi kama ww bali ni mfumo mzima wa nchi ndo mbovu.kwani kama kusoma udsm kigezo kufaulu mbona udom wapo waliofaulu tena nadhani zaidi yako hata ww na wengine wengi hapo udsm lakini walichagua udom au tcu ili wapangia udom. so ww unaipenda udsm kwa sababu ya hadhi na heshima lakini hufikirii utafanya nn kuisaidia udom na Tanzania kwa ujumlacoz udom haipo congo wala zambia ni TZ hapa hapa so niwajbu wetu sisi kama wasomi,wakulima,wafanyakazi n.k watanzania kupigania ubora waelimu yetu sio kupondana kama mjuha. Remember JF for great thinkers.
nakukubal asilimia 100, tatizo le2 watanzania tumeweka mbele ubinafsi,ubishani n datz why maendeleo ye2 yana'lay' kwenye negative axis.
 
Back
Top Bottom