Ubora wa elimu

Ubora wa elimu

Masihi.m

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
104
Reaction score
66
Wanajamvi kumekuwepo na msemo kuwa miaka ya nyuma ndio kulikuwa na wanafunzi bora kielimu kuliko miaka ya sasa ambapo wengi wanadai wanafunzi ni vilaza,naomba tuweze kuifuta kauli hii kwa sababu zifuatazo;
1.zamani kulikuwa na selected vitabu vya kusoma mwanafunzi wakati kwa sasa hakuna selected vitabu kwa somo lolote.Maana zamani serikali iliweza kuzuia vitabu visivyo na vigezo,wakati miaka ya sasa vitabu pamoja na vitini visivyo na vigezo vinaruhusiwa mashuleni.kwa sababu hiyo wanafunzi hutofautiana vitabu vya kusoma na ndio maana hufeli kutokana na tofauti ya vitabu vilivyokinzana kimaandishi.
2.kipindi cha zamani mitihani ilitolewa kutokana na umesoma nini{what you learned} lakini miaka ya sasa inategemea sana kipi umeelewa mwanafunzi{what you understand}.hivyo hata miaka ya sasa endapo wangetoa mitihani inayohusu ulichosoma nazani wengi wangefaulu,ila inakuwa ngumu kufaulu kwa sasa kwa kuwa wana majukumu mawili kusoma na kuelewa kitu anachokisoma.
Nawasilisha.
 
There are many reasons behind this wala sio hayo tu, hata ktk matokeo ya sasa kuna mambo ya aina tatu yanayochangia ambayo ni wizara ya elimu(poor policies,lack of commitment,irresponsibility) walimu( to some extent teachers are not well trained to particular subjects,irresponsility) and also the students themselves(expose to science and technology,lack of seriousness) contrary from the begining where things were at least managed!
 
Back
Top Bottom