Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam;

Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani.

Kila mwishoni mwa video wa mziki fulani kunaandika 'directed by Hanscana' na miziki mingine pia inaandika majina mengine.

Hili jina 'Hanscana' ndiyo lilitawala.

Sasa nini cha ziada alichonacho huyu anayeitwa 'Hanscana' kinachosabanisha video nyingi jina lake linaonekana kulinganisha na wengine?

Ubora wa video unapimwaje?
 
Nilimuona siku moja Hanscana anahojiwa, jamaa kama hajakulia maisha ya shida basi atakua Mhaya! Ana nyodo na kujikweza sana
Mbn wapo watu waliokulia kwenye shida na baada ya kutoka wanaanza majivuno..hicho chako si kigezo
 
Wakuu Salaam;

Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani.

Kila mwishoni mwa video wa mziki fulani kunaandika 'directed by Hanscana' na miziki mingine pia inaandika majina mengine.

Hili jina 'Hanscana' ndiyo lilitawala.

Sasa nini cha ziada alichonacho huyu anayeitwa 'Hanscana' kinachosabanisha video nyingi jina lake linaonekana kulinganisha na wengine?

Ubora wa video unapimwaje?
Ni director ambaye video zake zinaweza kuchezwa kwenye timu zote mbili i.e team kibakuli na team domo.

Wasanii wakimtumia Kenny wa Zoom extra clouds EATV na ETV hawatocheza nyimbo zao.
 
Back
Top Bottom