Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwahiyo alikuwa mbeba camera unataka tumuiteje sasa.Kuwa mbeba camera hapa sio hoja, hoja who is the best obvious is KENNY njoo kwa hoja na sio personal attacks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alikuwa mbeba camera unataka tumuiteje sasa.Kuwa mbeba camera hapa sio hoja, hoja who is the best obvious is KENNY njoo kwa hoja na sio personal attacks
kuna kipindi alikua mkali kuliko hata Hanscana alafu gafla akasitisha kufanya kazi, siku aliyorejea kwenye game akajikuta yupo nyuma mnooo.alikuwa anaweza sana
Huyu nae katokea wapi jmn?Sasa wasafi si Wana AFRIMA WINNER DIRECTOR KENNY au uantaka Nini Tena?
naamini akiamua anaweza.kazi zake zinathibitisha kuwa alikuwa habahatishikuna kipindi alikua mkali kuliko hata Hanscana alafu gafla akasitisha kufanya kazi, siku aliyorejea kwenye game akajikuta yupo nyuma mnooo.
Mada ni hanscana na sio hanscana vs KennySasa wasafi si Wana AFRIMA WINNER DIRECTOR KENNY au uantaka Nini Tena?
Hakuna kitu kichwani kasome shule dogoKwahiyo alikuwa mbeba camera unataka tumuiteje sasa.
Sasa ulipo ongea kuhusu kenny ulikuwa utopolo Nini?Mada ni hanscana na sio hanscana vs Kenny
Shule ulikwenda kusomea ujinga?
Umeandika kitu ambacho hakieleweki kabisa, na wala huzifahamu sababu za kitaalamu.Kitaalamu kutokana na kusema Kenny ana copy ideas za hanscana ndo akasema mdau je ukiangalia hizo video mbili Nani kamcopy mwenzake, so nashangaa umekurupuka . Jua ideas zinajirudiaga sawa dogo langu.
Oya huyu kijamaa una matatizo ya akili ama utindio wa ubongo.sio siriWatu tunatofautiana, so ukiona Bora na mwingine Ana kitu chake Bora so calm down ama uache shobo mdundo
Kisu kimegonga kwenye mfupaMada umeielewa lakini..? Kenny Vs hanscana unakimbilia kusema Mambo ya product Hama kweli shule ni muhimu sana
Mahaba yatakuuayKuwa mbeba camera hapa sio hoja, hoja who is the best obvious is KENNY njoo kwa hoja na sio personal attacks
Wapi nimesema kenny alikuwa utopolo.?Sasa ulipo ongea kuhusu kenny ulikuwa utopolo Nini?
Hii taira lilipigwa ban ya maisha halijakoma ndo limekuja na I'd nyingineMahaba yatakuuay
Lina akili za kitoto na ushabiki maandaziHii taira lilipigwa ban ya maisha halijakoma ndo limekuja na I'd nyingine
Ndo nipo shuleHakuna kitu kichwani kasome shule dogo
kua product si tatizo, mbona hata mawaziri wamefundishwa na walim je walimu ni bora kuliko wao?Kenny ni product ya Hanscana
Wewe unaonajekua product si tatizo, mbona hata mawaziri wamefundishwa na walim je walimu ni bora kuliko wao?
Mbn wapo watu waliokulia kwenye shida na baada ya kutoka wanaanza majivuno..hicho chako si kigezo
kuhusu idea za video mondi ana maadui mzee, nani alikuwa anamjua iza hapa bongo???Kweli hakuna jipya lakini Kenny anafanya kazi sehemu yenye vifaa vizuri ,bajeti nzuri.
Ila hanscana anafanya hats video za mil 5 na vitu vinatoka vizuri .idea alizocopy Hans ni chache mnoo .
Kenny video zake nyingi anaweka ma tube light.
Ila jamaa alisomea ufundi umeme