Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Mi hanscana simuelewi.. kenny namuona creative sana

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hanscana ni original

Kenny waw once original akafika mahali akachoka akaanza ku kopy

Unaweza ukawa shabiki wake ukakataa, ila ukweli unasimama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hanscana ni original

Kenny waw once original akafika mahali akachoka akaanza ku kopy

Unaweza ukawa shabiki wake ukakataa, ila ukweli unasimama
Tutoleee utopolo KENNY NI AFRIMMA WINNER usimfananishe na mbugira hanscana
 
Back
Top Bottom