The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Hanscan ni noma Kuzidi Kenny .Mi hanscana simuelewi.. kenny namuona creative sana
Nyie kila kitu mnaonaga jamaa wanaiba tu, muwe mnajificha kidogo, mnatuaibishaHanscan ni noma Kuzidi Kenny .
Kenny anabebwa na Label .
Hanscana Ana idea nyingi sana Angalia Video Za "Diamond" Zilizo Shutiwa na Kenny nyingi Ameiba Idea za Nyimbo za Watu
Amekulia kwenye shida mzeeNilimuona siku moja Hanscana anahojiwa, jamaa kama hajakulia maisha ya shida basi atakua Mhaya! Ana nyodo na kujikweza sana
Anafanya kazi ya baba yake zaidi.hivi Nisher yupo?
Inasemekana Kenny ndy anamkopi Hanscana, kwahy Kenny anangarishwa na HansMi hanscana simuelewi.. kenny namuona creative sana
Mbn wapo watu waliokulia kwenye shida na baada ya kutoka wanaanza majivuno..hicho chako si kigezoNilimuona siku moja Hanscana anahojiwa, jamaa kama hajakulia maisha ya shida basi atakua Mhaya! Ana nyodo na kujikweza sana
kaangalie video ya baba lao halafu na ile ya kushoto kulia ya harmonize,utajua nani anamkopi mwenzake.Inasemekana Kenny ndy anamkopi Hanscana, kwahy Kenny anangarishwa na Hans
Kwanza ujue tu Kenny alikuwa mbeba camera wa hanscana.itoshe halo.kaangalie video ya baba lao halafu na ile ya kushoto kulia ya harmonize,utajua nani anamkopi mwenzake.
Ni director ambaye video zake zinaweza kuchezwa kwenye timu zote mbili i.e team kibakuli na team domo.Wakuu Salaam;
Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani.
Kila mwishoni mwa video wa mziki fulani kunaandika 'directed by Hanscana' na miziki mingine pia inaandika majina mengine.
Hili jina 'Hanscana' ndiyo lilitawala.
Sasa nini cha ziada alichonacho huyu anayeitwa 'Hanscana' kinachosabanisha video nyingi jina lake linaonekana kulinganisha na wengine?
Ubora wa video unapimwaje?
Kenny ni product ya HanscanaMi hanscana simuelewi.. kenny namuona creative sana
Mbona una akili za kitoto sanaMtu mwenyewe umepanda bus la mkoan lenye kunguni utaelewa nini hata ukiambiwa
Huu ni ukweli sipendi blah blahMbona una akili za kitoto sana