Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Safi sana, kumbe uchumi wa kati umesaidia siku hizi wanatumia madirector wa hapahapa, tulishazoea kina godfather na campos
 
Hanscan ni noma Kuzidi Kenny .
Kenny anabebwa na Label .

Hanscana Ana idea nyingi sana Angalia Video Za "Diamond" Zilizo Shutiwa na Kenny nyingi Ameiba Idea za Nyimbo za Watu
Hii ni sababu ya kishabiki au sababu ya kitaalamu?
 
Hilo basi ni extra luxury na si uda, full utulivu ndani
Sasa mkuu lakini elewa tu hanscana ni next level anafanya kazi kutokana na bajeti yako.more money good work.

Tatizo lake ana jeuri mnoo saivi alishagombana na wasafi .huwa hababaishwi
 
Hanscan ni noma Kuzidi Kenny .
Kenny anabebwa na Label .

Hanscana Ana idea nyingi sana Angalia Video Za "Diamond" Zilizo Shutiwa na Kenny nyingi Ameiba Idea za Nyimbo za Watu
Acha utopolo Kenny baba lao[AFRIMA WINNER?]
 
Kwanza ujue tu Kenny alikuwa mbeba camera wa hanscana.itoshe halo.


Kumfananisha hanscana na Kenny ni sawa messi na dilunga
Kuwa mbeba camera hapa sio hoja, hoja who is the best obvious is KENNY njoo kwa hoja na sio personal attacks
 
Huu ni ukweli sipendi blah blah
MTU anaona kabisa kazi zake huyo jamaa halafu bado unauliza ubora wake ukwapi.
Ukiwa kwenye platform kama hii tegemea kupata majibu ya aina tofauti.

Nimemaliza
Watu tunatofautiana, so ukiona Bora na mwingine Ana kitu chake Bora so calm down ama uache shobo mdundo
 
Hii ni sababu ya kishabiki au sababu ya kitaalamu?
Kitaalamu kutokana na kusema Kenny ana copy ideas za hanscana ndo akasema mdau je ukiangalia hizo video mbili Nani kamcopy mwenzake, so nashangaa umekurupuka . Jua ideas zinajirudiaga sawa dogo langu.
 
Kweli, lakini mashambulizi mengi kwa kenny yanatokana na kufanya kazi na Diamond ila hata hanscana naye anatumia idea za watu.
Kweli hakuna jipya lakini Kenny anafanya kazi sehemu yenye vifaa vizuri ,bajeti nzuri.

Ila hanscana anafanya hats video za mil 5 na vitu vinatoka vizuri .idea alizocopy Hans ni chache mnoo .

Kenny video zake nyingi anaweka ma tube light.
Ila jamaa alisomea ufundi umeme
 
Sasa mkuu lakini elewa tu hanscana ni next level anafanya kazi kutokana na bajeti yako.more money good work.

Tatizo lake ana jeuri mnoo saivi alishagombana na wasafi .huwa hababaishwi
Sasa wasafi si Wana AFRIMA WINNER DIRECTOR KENNY au uantaka Nini Tena?
 
Na ndo director Bora pamoja na tubeligth zake sawa ko tukiza mihemko dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…