Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

Kwa director was bongo, nafikiri ni upepo tu, director wangu wa muda wote atabaki Adam Juma, wakapita Kallaghe, Eren Epidu, Nisher na Msafiri Shaban, dogo simuelewi kivile
 
Saw a nakubali lakini bado hujataja hizo kazi alizo copy hanscana wezele.ya mavoko alishoot Luca shwahili
 
Saw a nakubali lakini bado hujataja hizo kazi alizo copy hanscana wezele.ya mavoko alishoot Luca shwahili
kushoto kulia kakopi kwa baba lao,
Mpaka kesho kakopi kwa mdogo mdogo,
Hizo ni za hapa nyumbani ambazo zimeonekana moja kwa moja kwa sababu amekopi kwa msanii wa nyumbani.
Kumbuka wabongo wengi hawashobokei sana nyimbo za nje ndio maana huwa hazitokei sana trending pale YouTube halafu kazia hapo mondi ana maadui sana, hivi unadhani kama hanscana anacopy idea Brazil huko kuna mbongo ataanza kuzitafuta???
In short naweza kusema idea mpya za video hapa bongo ni chache sanaaa
Diamond ni mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe.
Hata Kiba anacopy sema tu ndio vilee...
 
Kwanza ujue tu Kenny alikuwa mbeba camera wa hanscana.itoshe halo.


Kumfananisha hanscana na Kenny ni sawa messi na dilunga
hata hivyo hanscana alikuwa mbeba camera wa khalfan, na khalfan alikuw mbeba camera wa Nisher kwa hiyo Nisher ndo baba yao
 
kwa upande wangu director mkali ni Nisher, hyu jamaa alikuw na effect za peke yake ila ndio hivyo bongo tunapenda mambo ya kuigana
 
ubora wa kenny dhidi ya hanscana umeupimaje au umeamua kumpenda mmoja wapo

Kwa kutazama video walizotengeneza.. kenny ana hit song videos nyingi na zimepata awards nyingi than hanscana videos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…