Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

Ningekuwa mimi peke yangu ningeonekana nina matatizo ,cheki hata Teko Modise humu alivyochambua upuuzi wako .

Jamaa unajikuta mjuaji sana halafu kichwa chako ni mche duara uliowazi pande zote, ninauhakika kabisa wewe Dishi Limeyumba .

Twende kwenye hoja tuweke statics za Alex , tokea aanze kucheza na msimu wake aliokuwa katika peak .
Hamna kitu huyo jamaa. Anajivunia likes 🤣🤣
 
Sawa kaka wewe unaakili nyingi.
Hamna sehemu nilisema nina akili nyingi, ila wewe unajivunia vitu vya hovyo na kujiona majinuni. Hii ni jamii forums, kuliwahi kuwa na uzi wa makapuku forum humu, hata ukiweka nukta unalamba ‘likes’ hata 25
 
Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media

Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine

Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani

Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka

Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game

Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana

Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?
Huyu dogo anatakiwa aboreshe game yake He is a midfielder not striker Yes anafunga sana but magoli yatakata.Hiyo game na Madrid kama ingeisha sare au Madrid kufungwa angekuwa among average players uwanjani.Hii role ya sasa as a false 9/10 anaitendea haki vizuri kwa magoli credits to him.
 
Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media

Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine

Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani

Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka

Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game

Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana

Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?
dawa yake ni jamali musiala
 
JUDE NI COMPLETE PACKAGE.

1. Anakaba.

2. Ana nguvu,Akiamua kukaba ama undava vyote anaweza

3. Anafunga magoli. Mpaka sasa nadhani ana goli zaidi ya 13

4. Ana kimo kizuri kinachomraahisishia kucheza mipira ya juu

5. Anaweza kucheza eneo lote la kiungo 6,8,10.

6. Ana uwezo mkubwa wa kuchezesha timu kutoka juu chini ama pia kati kati ya kiwanja..

7. Ana speed na mwendo mzuri

TATIZO KUBWA LA HUYU JAMAA NI MUINGEREZA.
Mhhh!...namba 6 ipi iyo mkuu unayosemea???...ukisikia OVERHYPE YENYEWE NDO HII...Yani umemaanisha jude anaweza kucheza vyema DEFENSIVE ROLE?? au Maana ata HOLDING Bado hajanishawishi maana hana uwezo wa kuificha mali yule dogo...kwa Namba 8 na 10 sawa ila 6 HAPANA...Na kama hutojali nitajie apa ni mechi ipi jude amecheza namb 6 aka perform.

Ila ni mchezaji mzuri lakini sio kwa KUIMBWA KAMA ILIVYO SASA.
 
dawa yake ni jamali musiala
Yah!...huyu dogo yupo vizuri kwa aspects ambazo anapaswa awe nazo kiungo wa juu...ana sifa za namba 10 kwa asilimia 80%...kuanzia pasi za mwisho, playmaking na assists...i

Ila tu shida yake ni kwenye...umaliziaji(apa namaanisha ni kama KDB anauwezo mzuri wa kufunga na Shooting power kama striker na ni miguu yake yote sasa), Pia hana nguvu za kuminyana yule dogo.

ila kwa izo sifa alizo nazo tu zinatosha sana kwa potential midfielder...atadevelop zaidi mbelen, na ndio maana kulingana na hali ya mkataba wake bayern...nasikia PEP kawaambia Man City kama wataweza wamchukue uyo dogo(japo ni ngumu kwa bayern kukubali kumpoteza).

Na kwa kiungo...hasa namba 10 na 8....sifa ya kwanza ni final passes, kuchezsha timu, penetration passes na uwezo wa kutoa assists. Uko kufunga anakofanya jude pale...Nafikiri ni kwasababu ya maagizo ya kocha kutokana na madrid kutokuwa na Classic Striker...ivyo jude anachezeshwa role ya False.9.
 
musiala ni kama benando da silva mwili mdogo lakin mpira huchukui
 
Jana alibebwa na bahati lakini hana ubora huoooo hata Felix João ni Bora kuliko huyo Bellingham
Aisee maajabu hayawezi kuja kuisha, kwahiyo Mkuu wewe unaona ni sahihi kuwalinganisha Felix João na Jude?
 
ENDELEA KUFUGA MAJINI

Majini yanakufanya unakuwa chizi bila hata kujijua.
Wewe Kenge nitadili na wewe jumla jumla ,cheki ujinga wako hapo chini.
IMG_20231030_191620.jpg
 
Jamaa ni mmoja ya wachezaji wabovu sana, Anapotea uwanjani mazima unasahau kabisa kama kuna mtu
 
Waingereza ni watu wa kushangaza kidogo.
1. Viungo hawa walikiwa wazuri mno
Frank lampard.
Steven Gerlard.
Paul scores etc.
Walicheza kwa mafanikio makubwa ila hakuwahi kuoata Tuzo za Dunia.

2.Hawa wachezaji nilitegemea waje kuwa wachezaji bora wa Dunia . Ghafla wakapotea bila kutegemea
Michae owen.
Jack Wilshare
Alex oxled chamblen.
Theo walcott.

Wakapotea bila kutegemea
Wakijidai majeraha majeraha........

Sjakuelewa mkuu, yani ulikuwa na imani kuwa Chamblen angekuwa mchezaji wa dunia ama?
 
Sio mechi za real tuu hata timu ya taifa kwenye mechi za kifuzu euro emekua man of match zaidi ya 3 na ametupia magoal

munapata faida gani kusema uwongo? Jude amecheza mechi karibu 30 na amefunga magoli matatu tu England, hayo magoli huwa anayutupia wapi? au umekusudia mazoezini?
 
Back
Top Bottom