CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wewe kweli nati zimecheza kichwani .
Chamberlain kafanya maajabu gani mpaka angie katika kutumainiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora ?
Aya yako ya kwanza inathibitisha wazi kuwa wewe ni kiazi mbatata kilichooza , ina maana mchezaji akicheza Arsenal na Liverpool Automatically anakuwa mchezaji wa kutumainiwa ? Chamakh kacheza Arsenal ,Frimpong nk lakini wamefanya nini ?
Wapi nimesema alikuwa hajui mpira Chamberlain ? soma kwa makini wewe Kiazi ndio maana GENTAMYCINE anakudharau hoja yangu ni wewe kujumlisha katika kundi la wanaotumaniwa kuchukua hiyo tuzo kitu ambacho hajafikia uwezo wa Kupewa hata hizo TETESI .
Nakusubiri nianze kukujibu kwa Statistics ,maana kichwa chalo kinahitaji msasa utokee uharo kichwani mwako..
Baada ya kujibu hoja umeishia kumshambulia Mtoa hoja.
Tena umethubutu kukubali kuongozwa na kipofu mwenzio.
MUNGU AKUSAMEHE KWA UPUMBAVU MA MATUSI YAKO.
Mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyokujia.
Ayoub 22:21.