Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

Hamna kitu huyo jamaa. Anajivunia likes 🤣🤣
 
Sawa kaka wewe unaakili nyingi.
Hamna sehemu nilisema nina akili nyingi, ila wewe unajivunia vitu vya hovyo na kujiona majinuni. Hii ni jamii forums, kuliwahi kuwa na uzi wa makapuku forum humu, hata ukiweka nukta unalamba ‘likes’ hata 25
 
Huyu dogo anatakiwa aboreshe game yake He is a midfielder not striker Yes anafunga sana but magoli yatakata.Hiyo game na Madrid kama ingeisha sare au Madrid kufungwa angekuwa among average players uwanjani.Hii role ya sasa as a false 9/10 anaitendea haki vizuri kwa magoli credits to him.
 
dawa yake ni jamali musiala
 
Mhhh!...namba 6 ipi iyo mkuu unayosemea???...ukisikia OVERHYPE YENYEWE NDO HII...Yani umemaanisha jude anaweza kucheza vyema DEFENSIVE ROLE?? au Maana ata HOLDING Bado hajanishawishi maana hana uwezo wa kuificha mali yule dogo...kwa Namba 8 na 10 sawa ila 6 HAPANA...Na kama hutojali nitajie apa ni mechi ipi jude amecheza namb 6 aka perform.

Ila ni mchezaji mzuri lakini sio kwa KUIMBWA KAMA ILIVYO SASA.
 
dawa yake ni jamali musiala
Yah!...huyu dogo yupo vizuri kwa aspects ambazo anapaswa awe nazo kiungo wa juu...ana sifa za namba 10 kwa asilimia 80%...kuanzia pasi za mwisho, playmaking na assists...i

Ila tu shida yake ni kwenye...umaliziaji(apa namaanisha ni kama KDB anauwezo mzuri wa kufunga na Shooting power kama striker na ni miguu yake yote sasa), Pia hana nguvu za kuminyana yule dogo.

ila kwa izo sifa alizo nazo tu zinatosha sana kwa potential midfielder...atadevelop zaidi mbelen, na ndio maana kulingana na hali ya mkataba wake bayern...nasikia PEP kawaambia Man City kama wataweza wamchukue uyo dogo(japo ni ngumu kwa bayern kukubali kumpoteza).

Na kwa kiungo...hasa namba 10 na 8....sifa ya kwanza ni final passes, kuchezsha timu, penetration passes na uwezo wa kutoa assists. Uko kufunga anakofanya jude pale...Nafikiri ni kwasababu ya maagizo ya kocha kutokana na madrid kutokuwa na Classic Striker...ivyo jude anachezeshwa role ya False.9.
 
musiala ni kama benando da silva mwili mdogo lakin mpira huchukui
 
Jana alibebwa na bahati lakini hana ubora huoooo hata Felix João ni Bora kuliko huyo Bellingham
Aisee maajabu hayawezi kuja kuisha, kwahiyo Mkuu wewe unaona ni sahihi kuwalinganisha Felix João na Jude?
 
Jamaa ni mmoja ya wachezaji wabovu sana, Anapotea uwanjani mazima unasahau kabisa kama kuna mtu
 

Sjakuelewa mkuu, yani ulikuwa na imani kuwa Chamblen angekuwa mchezaji wa dunia ama?
 
Sio mechi za real tuu hata timu ya taifa kwenye mechi za kifuzu euro emekua man of match zaidi ya 3 na ametupia magoal

munapata faida gani kusema uwongo? Jude amecheza mechi karibu 30 na amefunga magoli matatu tu England, hayo magoli huwa anayutupia wapi? au umekusudia mazoezini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…