Don Calo alisema hivi janaView attachment 2978104
Watoto wa 2000 wanaenda na upepo unavuma wapi sidhani km wanaangalia mpira game after gamemunapata faida gani kusema uwongo? Jude amecheza mechi karibu 30 na amefunga magoli matatu tu England, hayo magoli huwa anayutupia wapi? au umekusudia mazoezini?
pia nimecheki mechi ya madrid na munich. nusu fainal. Jube ni wakawaida sana
Mzururaji tu uwanjaniJana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media
Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine
Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani
Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka
Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game
Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana
Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?
Kwa pesa aliyonunuliwa ancelloti hana namna inabidi amchezeshe tuJana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media
Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga sijaona potential kubwa kwake hadi aanze kufaninishwa na Lampard au Zidane au maestro wengine
Jana nilivyomuona ana ubora kwenye kujipostion/ anajua wapi akae Ili aweze kupokea pasi pamoja na phiscality uwanjani
Ila anapoteza sana mipira
Hatoa accurate pass
Hakabi
Hana pace
Mwili wake ni ule wa mifupa mizito kwahiyo anawahi kuchoka
Mechi ya jana dogo alipotea kabisa shukrani kuingia kwa babu Modric alilainisha game
Nimekuwa nikisikiliza interview za Ancelot kuhusu magoli anayofunga Jude mara nyingi hata yeye anashangazwa hii maana yake hamtegemei sana
Je, kweli Jude ana ubora ambao mimi siuoni hadi aanze kuwekwa daraja moja na kina Zizou?
Muondoe Michael Oweni ali prove ubora na kuchukua Balon d'or hiyo inatosha sanaWaingereza ni watu wa kushangaza kidogo.
1. Viungo hawa walikiwa wazuri mno
Frank lampard.
Steven Gerlard.
Paul scores etc.
Walicheza kwa mafanikio makubwa ila hakuwahi kuoata Tuzo za Dunia.
2.Hawa wachezaji nilitegemea waje kuwa wachezaji bora wa Dunia . Ghafla wakapotea bila kutegemea
Michae owen.
Jack Wilshare
Alex oxled chamblen.
Theo walcott.
Wakapotea bila kutegemea
Wakijidai majeraha majeraha........