Wazikimbie kwanini na mlisema mtashinda kwa goli nane siku ya nane nane?Mpaka sasa sijaona uzi wa mtu kuisifia ama kuiponda yanga, ila simba nyuzi za kujitetea ni nyingi sana.
Mtazikimbia hizi, haya tusubiri tu.
Muamuzi kafanyajee? Jana kachezesha vizuri tyuuh.Uchambuzi mujarabu kabisa, ila kocha alisema ameshawaandaa wachezaji wake kisaikolojia kuwa ni mechi ya kawaida tu, ikaweje wakapanic tena?. Shukran za dhat ziende kwa waamuz, mngekimbiana hapa msimbazi
Mmezoea Arajiga wa kuwapa bao nyingi za uongo,Mshukuruni refa jana zilitakiwa ziwe nne.Yaani refa na washika vibendera ndio waliofanya ujione unatimu,ila hauna ubora wowote.
Pili nimetizama mechi ya juzi na jana ,timu haina namba kumi ,so kocha msimu huu wakombozi wake ni Mutali na Kibu/Balua na watu wakikaba pembeni huna shughuli.Still bado kocha hata ule muunganiko bado, yaani ile fulani afanye nini/ajiposition wapi wakati timu ina mpira au hamna.
Kumbe upo long time sijakuona.Mmezoea Arajiga wa kuwapa bao nyingi za uongo,
Em taja movement 3 ambazo zilikua bao na refa kakataa, nipo hapa kusubiri usemee.
uzuri nakufahamu my lovely queen negativity, tukienda kulia we lazima utaenda kushoto.Muamuzi kafanyajee? Jana kachezesha vizuri tyuuh.
Mmezoea Arajiga kuwapa Yanga mabao mengi ya uongo, ili kumfurahisha BT.
Na mkakubali kua mtakufa 8, kweli??Wazikimbie kwanini na mlisema mtashinda kwa goli nane siku ya nane nane?
Dube alifunga bao lilikataliwa lipi hilo? Em sema ilikuajee?Kumbe upo long time sijakuona.
Aziz na Dube yale ni magoli halali,plus penati ya Aziz,halafu kocha wako kwenye press analalamikia mmeomewa,penati ya dk ya mwisho.Yote kwa yote timu yake ubora wake umetokana na mwamuzi na mshika vibendera. Halafu kocha wako anataka VAR,we unazani jana kungekuwa na VAR si mngekula nne.
Nasubiria hoja za kimpira kupinga zangu.
Type Error si Dube bali Pacome.....Dube alifunga bao lilikataliwa lipi hilo? Em sema ilikuajee?
Ile ya Aziz ki ilikua clear offside, hata ukitazama marejeo ya picha mjongeo utaona.
Kuhusu Penalty ya aziz ki naweza sema ilikua sawa, na ndo maana sisi tulipopata pia alinyima, kusawazishaa.
Kwa mpira wa jana, matokeo yangekua 2 - 1 endapo Penalty zilizonyimwa zingekubaliwa kupigwa na kuwa mabao.
Hizi za bao 4, ndo nashangaa kwako wee,
Sidhani kama mnavyowaza ni sahihi ila sio mbaya kuendelea kujifariji maana hata kabla ya hii mechi, mashabiki wa Simba waliamini kuwa wachezaji wa Yanga watapimwa umri. Kitu pekee nilichokiona, dakika za mwanzoni Yanga walikosa utulivu wengi walikuwa wametoka mchezo kule nyuma mpaka Diarra nae. Ila baada ya kuhimili presha wakaanza kurudi mchezoni na kuucheza mpira wao huku ikiwaruhusu Simba wacheze mpira na wao kukaba njia.Kuna watu nimewaambia jana ni mala ya mwisho Yanga kumfunga Simba...
Mbona nlikuambia weka kila kitu hapaa, ili kuthibitisha hoja yako.Type Error si Dube bali Pacome.....
Clear offside how? Au nikuwekee link hapa JF,hauhitaji hata kuchora mistari.
Dube alichezewa faulo ndani ya 18 refa kapetaDube alifunga bao lilikataliwa lipi hilo? Em sema ilikuajee?
Ile ya Aziz ki ilikua clear offside, hata ukitazama marejeo ya picha mjongeo utaona.
Kuhusu Penalty ya aziz ki naweza sema ilikua sawa, na ndo maana sisi tulipopata pia alinyima, kusawazishaa.
Kwa mpira wa jana, matokeo yangekua 2 - 1 endapo Penalty zilizonyimwa zingekubaliwa kupigwa na kuwa mabao.
Hizi za bao 4, ndo nashangaa kwako wee,
Simba hii ikipata mechi 15 tu za ligi - mlete Uto tena ama Rambaramba.Wanacheza vizuri lakini gamondi aliwazidi ujanja
Lefa kapeta penarti ya wazi kabisa aliyochezewa rafu Kajil ndani ya box.Dube alichezewa faulo ndani ya 18 refa kapeta
Azizi Ki kachezewa faulo refa kapeta
Pacome kafunga goli marejeo yanaonesha kuwa yupo onside ila refa kakataa
Azizi Ki anafunga goli linakataliwa ni offside japo marejeo inaonesha yupo sawasawa na beki wa Simba
Aliyetoa one two ndo alikua offside sio pacome, ile ni clear offside bossType Error si Dube bali Pacome.....
Clear offside how? Au nikuwekee link hapa JF,hauhitaji hata kuchora mistari.
Mbona nlikuambia weka kila kitu hapaa, ili kuthibitisha hoja yako.
Haihitaji uniulize, Wee kazi yako kuweka ili tuthitibishe madai ya mabao yako 4.
Aliyetoa one two ndo alikua offside sio pacome, ile ni clear offside boss
Clear offside bossView attachment 3065255
View: https://m.youtube.com/watch?v=vJ33ZVPVLOo&pp=ygUOeWFuZ2EgdnMgc2ltYmE%3DUnaweza kujirizisha kwa clip hiyo video.