Ubora wa kipa ndio umeibeba Vipers jana kwa Mkapa

Ubora wa kipa ndio umeibeba Vipers jana kwa Mkapa

Hajui hata assist ya goli alilofunga Chama ilitoka kwa Phiri.

Phiri jana kapambana mno na mashuti mengi aliyopiga yaliblokiwa na walinzi wa Vipers vinginevyo jana ingekuwa mvua ya magoli.
Huyo siijui ni robot maana kila siku comment yake ni hyo..haoni siku nzuri wala siku mbaya
 
Kama kwa Vipers mnashindwa kucheza mpira wenu mliouzoea, vipi mkikutana na kina Mamelod huko robo fainali ?
Mpira magoli na umeshaambiwa kipa wao ndio alikuwa man of the match, mpaka hapo usilaumu performance ya Simba Sc.
 
Phili Dk 70.

Hakuna shuti,
Hakuna shuti Nje ya goli.
Hakuna nafasi aliyotengeneza.
Hakuna shuti ndani ya Goli.

Hao akina Baleke ni mizigo mingine.
Banda,
Kanute.
Ottara.
Okrah.
Sawadogo.

Simba Ina wachezaji Mizigo sana
Wewe utakuwa huwa unatafuna pilipili kabla hujaingia JF[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipers nayo ni timu nzuri sana tu, tena walikuja na morali kwa kujua kuwa hii ni gemu yao ya kupatia point coz wanacheza na ndugu zao (east africa) wanaofahamiana na ni gemu ambayo ingeweza kuwafanya japo wapate ushindi mmoja kwenye group stage
Shortly game ilikua ngumu, kingine Simba tunahitaji alama 3, hayo ya kucheza vizuri nendeni mamiziki huko mkacheze 😁😁
 
Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
Tatizo unatanguliza ushabiki ila yule mchezaji wa juu alikuwa amezidi japo ni kidogo na inahitaji umakini kuiona ile offside ambaye hakuwa offside ni yule aliye kuwa upande ya chini.
 
Mpira magoli na umeshaambiwa kipa wao ndio alikuwa man of the match, mpaka hapo usilaumu performance ya Simba Sc.
Performance ya Simba ilikuwa mbovu huo ndio ukweli
 
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo simba ameonesha uhai kidogo hasa kwenye kusukuma mashambulizi kwa nguvu na kasi.

Tukiachana na ushabiki matokeo ya jana yameamuliwa na Ubora wa kipa wa Vipers tofauti na hapo Simba ingeshinda si chini ya goli 3 mpaka 4.

Jana simba walikuwa wanashambulia kwa kasi kitu kilicho zuia mabeki wa Vipers kupanda hivyo mabeki wa simba kuwa huru na ndio maana jana unaona Onyango hajafanya makosa ya kizembe kama tulivyo zoea bali walio kuwa wanafanya makosa ni Viungo.

Lakini pamoja na hayo mm sio muumini wa huu mfumo wa kocha wetu,mpila mzuri ni weka Ball chini itembee na sio mpira wa kukimbizana kama vichaa.
Mlicheza vizuri sana bwana, mnayo timu nzuri na mtafika mbali sana, aina ya wachezaji mlionao ni wenye nguvu na kasi, kiufupi nawaona nusu fainali au fainali kabisa ya caf, Nawashauri msiivuruge hii timu kwa kuwa Mo alifanya usajili bora kabisa, Nawaona horoya wakiondoka bila alama kwa mkapa kwakuwa simba imekamilika kila eneo kwa sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I don't care, perfomance mbovu ila kipa wa Vipers akawa man of the match[emoji1306][emoji1306]
Hiyo ni taa nyekundu kwamba mnahitaji kujitathmini ikiwa bado mna ndoto za kufika nusu fainali.
 
Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Upuuz na kidhungu cha mchongo[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom