Ubora wa kipa ndio umeibeba Vipers jana kwa Mkapa

Ubora wa kipa ndio umeibeba Vipers jana kwa Mkapa

Tatizo unatanguliza ushabiki ila yule mchezaji wa juu alikuwa amezidi japo ni kidogo na inahitaji umakini kuiona ile offside ambaye hakuwa offside ni yule aliye kuwa upande ya chini.
Nimerudia zaidi ya mara tano, hakuwa amezidi huyo mchezaji wa juu.

Klabu bingwa Africa hatua ya mtoano na group stage, timu lazima icheze kwa mkakati na kwa malengo ya kufuzu. Entertainment football hiyo baadae.
 
Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Yanga hii hii inayopata matokeo kwa mbinde kwenye ligi!? Au kuna Yanga nyingine!?

Cha kuongezea, wewe unaonekana mweupe sana kwenye soka la Bongo. Mechi ya Simba na Yanga iit is not about the current form ya timu. Timu bora kwa wakati huo mara nyingi inapata shida sana kupata matokeo.
 
Mnyama kumpiga mtu nje ndani na kukaa nafasi ya pili imewachanganya sana, walisha tuhesabia hatuna letu msimu huu wakasahau kuwa simba ni lidude likuuuuuubwaaaaaaaa!!
 
Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaumia had baas,

Mbna sisi tulinyimwa penalty, godifaza wa Bujumbura alinawisha mtu. Wee vipi
 
Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Yanga ipiii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iliyotolewa na Al hilal na kuangukia kombe LA losers??
 
Nimerudia zaidi ya mara tano, hakuwa amezidi huyo mchezaji wa juu.

SnapMarkup_20231008_121051.jpg
 
Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
Screenshot_20230308-131215_YouTube.jpg

Hii ni offside.

Mimi sipendi mpira wa kubebwa na pamoja na kwamba naisupport Simba wangebebwa jana ningekuwa wa kwanza kusema. Tukumbuke pia walinyimwa penalty kipindi cha kwanza ambayo inawezekana ingefungua mvua ya magoli.
 
Back
Top Bottom