vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Nimerudia zaidi ya mara tano, hakuwa amezidi huyo mchezaji wa juu.Tatizo unatanguliza ushabiki ila yule mchezaji wa juu alikuwa amezidi japo ni kidogo na inahitaji umakini kuiona ile offside ambaye hakuwa offside ni yule aliye kuwa upande ya chini.