Huyo siijui ni robot maana kila siku comment yake ni hyo..haoni siku nzuri wala siku mbayaHajui hata assist ya goli alilofunga Chama ilitoka kwa Phiri.
Phiri jana kapambana mno na mashuti mengi aliyopiga yaliblokiwa na walinzi wa Vipers vinginevyo jana ingekuwa mvua ya magoli.
Mpira magoli na umeshaambiwa kipa wao ndio alikuwa man of the match, mpaka hapo usilaumu performance ya Simba Sc.Kama kwa Vipers mnashindwa kucheza mpira wenu mliouzoea, vipi mkikutana na kina Mamelod huko robo fainali ?
Wewe utakuwa huwa unatafuna pilipili kabla hujaingia JF[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Phili Dk 70.
Hakuna shuti,
Hakuna shuti Nje ya goli.
Hakuna nafasi aliyotengeneza.
Hakuna shuti ndani ya Goli.
Hao akina Baleke ni mizigo mingine.
Banda,
Kanute.
Ottara.
Okrah.
Sawadogo.
Simba Ina wachezaji Mizigo sana
Usimalize maneno kwani umeshakutana na ihefu?Yanga ipi? Hii ilofungwa na Ihefu 😄
Bado ila nakumbushia tuu basi na yeye asituone dhaifu...awe na akiba ya maneno 😄 😄Usimalize maneno kwani umeshakutana na ihefu?
Tatizo unatanguliza ushabiki ila yule mchezaji wa juu alikuwa amezidi japo ni kidogo na inahitaji umakini kuiona ile offside ambaye hakuwa offside ni yule aliye kuwa upande ya chini.Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
Performance ya Simba ilikuwa mbovu huo ndio ukweliMpira magoli na umeshaambiwa kipa wao ndio alikuwa man of the match, mpaka hapo usilaumu performance ya Simba Sc.
I don't care, perfomance mbovu ila kipa wa Vipers akawa man of the match[emoji1306][emoji1306]Performance ya Simba ilikuwa mbovu huo ndio ukweli
Mlicheza vizuri sana bwana, mnayo timu nzuri na mtafika mbali sana, aina ya wachezaji mlionao ni wenye nguvu na kasi, kiufupi nawaona nusu fainali au fainali kabisa ya caf, Nawashauri msiivuruge hii timu kwa kuwa Mo alifanya usajili bora kabisa, Nawaona horoya wakiondoka bila alama kwa mkapa kwakuwa simba imekamilika kila eneo kwa sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo simba ameonesha uhai kidogo hasa kwenye kusukuma mashambulizi kwa nguvu na kasi.
Tukiachana na ushabiki matokeo ya jana yameamuliwa na Ubora wa kipa wa Vipers tofauti na hapo Simba ingeshinda si chini ya goli 3 mpaka 4.
Jana simba walikuwa wanashambulia kwa kasi kitu kilicho zuia mabeki wa Vipers kupanda hivyo mabeki wa simba kuwa huru na ndio maana jana unaona Onyango hajafanya makosa ya kizembe kama tulivyo zoea bali walio kuwa wanafanya makosa ni Viungo.
Lakini pamoja na hayo mm sio muumini wa huu mfumo wa kocha wetu,mpila mzuri ni weka Ball chini itembee na sio mpira wa kukimbizana kama vichaa.
Hiyo ni taa nyekundu kwamba mnahitaji kujitathmini ikiwa bado mna ndoto za kufika nusu fainali.I don't care, perfomance mbovu ila kipa wa Vipers akawa man of the match[emoji1306][emoji1306]
Upuuz na kidhungu cha mchongo[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
Ambao wanasema Simba jana hawakucheza vzr ni wivu tuu hakuna kingine
Karudie kuangalia, hakukuwa na offside position pale.Sio ilikuwa offside ile mkuu?