Ubora wa ligi: Ni La Liga tu ambao hawajampata bingwa wakisubiri mechi ya mwisho

Kufungwa mara Moja au mbili haijustify kuwa timu haiko njema. Sasa mbona huko Uropa Sevilla ka-dominate na nyie mnamshindwa!? Tar 18 analibeba kombe lake kama kawaida kwa taarifa yako.
Mbona sababu nazitoa na kila saa nakueleza sabab

Kwann Sevilla hufanya vizuri Europa, sababu ni ya kimahesabu na ni dhahiri

Wakati EPL wanao shiriki Europa hasa kina tottenham na wengineo, huwana wana mashindano ma nne, hawana mapumziko Christmass na hushindania kuingia top four mwanzo mpaka mwisho wa ligi,
la liga hali haiko hvo ligi ikianza tuu, Barca almost ni bingwa, Real ata fuata na Atletico wa tatu, hixo nafas hata hazina ushindani na nafas ya nne Villareal na Valincia (akiwa kwenye kiwango hushika nafas ya nne)

Sevilla mathematically hana tiring schedule, na hakamii sana ndani ana deal na Europa tuu, kwan ligi yao huisha kabla haija anza, juz wali ingia kwenye UEFA champs kama wazuri kwa nin hawakuenda 16 bora!!? , ndo walipigwa adi na city, wamerudi Europa.

Kuthibitsha hilo angalia liverpool ambao ni wa EPL nao wana cheza finali na sevilla yako hyo , kwenye ligi nao hawakamii sana , na hawafany vzuri, hzo ndo hesab za kushinda Europa ndugu

Usiwe mbishi chukua league table angalia barca madrid na atletco wame ziachaj tim nyngne alaf angalia table ya EPL utaona tofaut tuu
 
Hapa ni sawa na wafia dini(mkristo/muislam) kila mmoja ana upande anaouamini kuwa bora. Wewe baki na EPL yako nami nabaki na La liga yangu.
 
Hapa ni sawa na wafia dini(mkristo/muislam) kila mmoja ana upande anaouamini kuwa bora. Wewe baki na EPL yako nami nabaki na La liga yangu.
Siyo mimi tuu, tuko mamilioni tuna ipenda EPL

Uko kwako kuna tim kali 3 ila ligi mmmmh
 
Duuuuh aisee kwa point hizi kweli EPL hata mashabiki wake wanatia hofu yani halmashauri yako yote kichwani ndio imeona hizi ni fact[emoji1] [emoji1]
BASI SAWA NIMEJIFUNZA KITU
 
Epl...ni ligi iliyo na mayangazo meng,,,La liga ni ligi yenye ubora wa wachezaj na tim,,,hukitaka kupima anagalia makombea ya kimataifa yanachukuliwa zaid na tim zao,,,
 

Kwa mujibu wa hadithi yako
1: Timu za EPL hazifanyi vizur Europe sababu hazina mapumziko Christmas kama La Liga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] HII NI PUMBA

2: Nafas ya nne umedai kuwa ni lazma apate Villarreal ama Valensia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umesahau kuwa Malaga alishika nafas ya 4 akafika Robo Final UEFA akaja akashika Real Sosiadad akafuata Sevila n.k
3:Umedai EPL hamkamii Europa et hata Liverfool hawez kamia
HIVI INA MAANA HUJAMSIKIA KLOP ALICHOONGEA KUHUSU FINAL AU MAN U KIPIGO CHA JANA KIMEKUVURUGA AKIL
 
Hahaha karibu mkuu PNC 1,

kigezo cha mapumziko cja sema mimi tuu bali kasema LVG, Pellegrini (alo ifikisha hyo Malaga hado robo ya EUFA), na Klopp ambao ni makocha na wamefundsha sehem wanazo pumzika wanjua faida ya kufanya hvo, cdhan kama hao nao ni wapumbavu

Angalia ni mara chache kukuta Sevilla kashinda Europa na kushka nafas ya nne ( hao kina vakencia sja sema ndo wao tuu daily) so u can add any team, halaf lengo langu ni kuonesha Sevilla akishnda Europa Anakuwa ligi hakamii sana

Klopp sja msikia kasemaje kuhusu EPL ukinisaidia kunijuza alisemaje ntajibu
 
La liga ndio maana hata Azam wanaonesha bei rahisi lkn EPL habari nyingine. Haiwezekani kitu bora kikauzwa bei ya kutupwa kibovu kiwe mara 4. Kitu kikubwa EPL ina mvuto mkubwa sana na inatizamwa sana duniani, hilo halina ubishi.
Je unajua barca ndiyo timu yenye mashabiki wengi duniani ikifuatiwa na real madrid kwa karibu then Man U, je unajua el clasico ndiyo mechi inayotizamwa na watu wengi duniani .., tangu chelsea atoe ubingwa wa Uefa hakuna timu nyongine ya uingereza ambayo imeweza kuutoa huo ubigwa kwa hivi karibuni , je huoo ubora wa epl upoo wapi? Nafikiri epl ni maarufu tu. Na hata finali ya uefa ni dhidi ya A. Madrid na R. Madrid.
 
Duuuuh aisee kwa point hizi kweli EPL hata mashabiki wake wanatia hofu yani halmashauri yako yote kichwani ndio imeona hizi ni fact[emoji1] [emoji1]
BASI SAWA NIMEJIFUNZA KITU
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo maneno ya kanga.Be a gentleman.Haya nazisubiri fact zako nizijibu.
 
Ligi Bora ni ya Zanzibar tu, hizi nyingine basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…