Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Mbona sababu nazitoa na kila saa nakueleza sababKufungwa mara Moja au mbili haijustify kuwa timu haiko njema. Sasa mbona huko Uropa Sevilla ka-dominate na nyie mnamshindwa!? Tar 18 analibeba kombe lake kama kawaida kwa taarifa yako.
Kwann Sevilla hufanya vizuri Europa, sababu ni ya kimahesabu na ni dhahiri
Wakati EPL wanao shiriki Europa hasa kina tottenham na wengineo, huwana wana mashindano ma nne, hawana mapumziko Christmass na hushindania kuingia top four mwanzo mpaka mwisho wa ligi,
la liga hali haiko hvo ligi ikianza tuu, Barca almost ni bingwa, Real ata fuata na Atletico wa tatu, hixo nafas hata hazina ushindani na nafas ya nne Villareal na Valincia (akiwa kwenye kiwango hushika nafas ya nne)
Sevilla mathematically hana tiring schedule, na hakamii sana ndani ana deal na Europa tuu, kwan ligi yao huisha kabla haija anza, juz wali ingia kwenye UEFA champs kama wazuri kwa nin hawakuenda 16 bora!!? , ndo walipigwa adi na city, wamerudi Europa.
Kuthibitsha hilo angalia liverpool ambao ni wa EPL nao wana cheza finali na sevilla yako hyo , kwenye ligi nao hawakamii sana , na hawafany vzuri, hzo ndo hesab za kushinda Europa ndugu
Usiwe mbishi chukua league table angalia barca madrid na atletco wame ziachaj tim nyngne alaf angalia table ya EPL utaona tofaut tuu