Ubora wa mchezaji mmoja mmoja Ihefu inaweza mfunga Simba

Acha ramli naona unatafuta umaarufu kama wa Mandong kwa kuikandia Simba daily🙄😀😀😀kama Simba mbovu ww iache haikuhusu pambana na AzaM yako bora mkuu.
 
Acha ramli naona unatafuta umaarufu kama wa Mandong kwa kuikandia Simba daily🙄[emoji3][emoji3][emoji3]kama Simba mbovu ww iache haikuhusu pambana na AzaM yako bora mkuu.
Tunaenda ongoza league Leo AZAM
 
Acha ramli naona unatafuta umaarufu kama wa Mandong kwa kuikandia Simba daily🙄[emoji3][emoji3][emoji3]kama Simba mbovu ww iache haikuhusu pambana na AzaM yako bora mkuu.
Simba naihurumia sana ndiyo maana
 
Sio kila anaeiponda simba ni yanga think wise na utoe iyo mentality kichwani
Matope matupu!una mentality ww?kama huna cha kuwashirikisha great thinkers soma hata nyuzi za kujifunza kufikiri,sio mtu anaandika upuuz alafu aangaliwe
 
W
Ampe Double chance kabisa
 
Sasa si uwaambie waingie mmoja mmoja au!!!!akili za utopolo ni finyu....kwa ajili ya kuvuka barabara tu
 
Uwezo wa team
Kwa hiyo team yako inauwezo?

Ona hapa

Mkatoka hapo mkaja hapa yani mnaenda mapumziko mkiwa na goli 3 plus clean sheet

Hili lilikuwa ni teke la mwisho la punda anayekatlribia kukata roho

Kilichotokea sasa baada ya pumzi kukata
 
Matope matupu!una mentality ww?kama huna cha kuwashirikisha great thinkers soma hata nyuzi za kujifunza kufikiri,sio mtu anaandika upuuz alafu aangaliwe
Jipige dole then ujinuse great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…