Tuweke mie na wewe.Tuweke mm na wewe iyo 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuweke mie na wewe.Tuweke mm na wewe iyo 50
Sawa tusubiri muda utakuwa hakimu mzuri.Sawa boss mali kauli hamshindi leo
Matope matupu!una mentality ww?kama huna cha kuwashirikisha great thinkers soma hata nyuzi za kujifunza kufikiri,sio mtu anaandika upuuz alafu aangaliweSio kila anaeiponda simba ni yanga think wise na utoe iyo mentality kichwani
Ampe Double chance kabisaKama Ihefu ni bora kuliko Simba, ilikuwaje Ihefu mpaka sasa awe mkiani mwa msimamo wa ligi na Simba awe juu yake maradufu?.
Hata kama Simba watacheza wachezaji 9 na Ihefu wawe 12 bado atachapika kama Mandonga pale Lupaso.
Tunza comment yangu hii, ukibisha bet 100000 umpe Ihefu uamke kapuku.
Sasa si uwaambie waingie mmoja mmoja au!!!!akili za utopolo ni finyu....kwa ajili ya kuvuka barabara tuWapenzi wa mpira habari za muda huu, nipo hapa kupiga lamli chonganishi!
Tukienda na mchezaji mmoja mmoja, Ihefu wana wachezaji wanaojua mpira kuliko vitoto vya Simba visivyo na akili.
Leo Tshishimbi atawatesa, Mahundi atawafunga.
Mjiandae kusema mnakamiwa.
Kwa hiyo team yako inauwezo?Uwezo wa team
Ningekuwa sina uwezo ungenifunga basiKwa hiyo team yako inauwezo?
Ona hapa
View attachment 2414712
Mkatoka hapo mkaja hapa yani mnaenda mapumziko mkiwa na goli 3 plus clean sheet
View attachment 2414714
Hili lilikuwa ni teke la mwisho la punda anayekatlribia kukata roho
View attachment 2414715
Kilichotokea sasa baada ya pumzi kukata
View attachment 2414717
Ndugu hela yangu iko wapiSawa boss mali kauli hamshindi leo