Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
duuh! Kule wanauwana, huku hisa zinapanda, kweli vita vya panzi niBaada ya shambulizi hilo mauzo ya hisa ya kampuni ya AVIC ambao ni wategenezaji wa J-10C yamepanda kwa 20% hizi ni habari njema kwa biashara ya silaha kwa taifa la China.
View attachment 3327290
duuh! Kule wanauwana, huku hisa zinapanda, kweli vita vya panzi ni
Hapa nakubaliana nawe kwa 100%Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.
Mpaka sasa hakuna evidence ya Rafale hata moja kuangushwa. Hata moja, wewe unadai sita!Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani ya kivita na hazijawahi kujaribiwa?
Hatimaye jibu limeanza kupatikana.
Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 6 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15
India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.
Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.
Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani India Airforce wanaweza kutoa ushahidi wa kina kuhusu hilo.
Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.
Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India asingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.
Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.
Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo?
Natazamia kwa hamu tena India ijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo nalo karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.
Ambazo zina many supersonic anti-ship missiles zikizamisha zile za India, ili dunia ijionee tena ubora wa meli vita za China.
Mpaka sasa hakuna evidence ya Rafale hata moja kuangushwa. Hata moja, wewe unadai sita!
Kama unayo evidence leta hapa unitag.
Source yako hainyeshi wapi Rafales 6 zimedondoshwa na Pakistan.
Source yako hainyeshi wapi Rafales 6 zimedondoshwa na Pakistan.
Inaonyesha claim ya Rafale moja, ambayo French officials wanafanya investigation zaidi kama kuna nyinginezo.
Source yako inaonyesha maeneo ambayo India imeshambulia ndani ya Pakistan kwa kutumia ndege. I expected kama Pakistan wana Air Defense systems nzuri wazuie mashambulizi, Pakistan kama wana ndege bora waingie nazo India wafanye air attack. After that tutasema kweli ndege zao ni boraView attachment 3327315
Na ndege za kisamia vipi?Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani ya kivita na hazijawahi kujaribiwa?
Hatimaye jibu limeanza kupatikana.
Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 6 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15
India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.
Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.
Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani India Airforce wanaweza kutoa ushahidi wa kina kuhusu hilo.
Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.
Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India asingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.
Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.
Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo?
Natazamia kwa hamu tena India ijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo nalo karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.
Ambazo zina many supersonic anti-ship missiles zikizamisha zile za India, ili dunia ijionee tena ubora wa meli vita za China.
China hawajashindwa kuichukua Taiwan, na kwanza wao wanaitambua kama China.Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
Shabikia amani kaka yangu
Umemjibu vyemaChina hawajashindwa kuichukua Taiwan, na kwanza wao wanaitambua kama China.
Ziko outdated sanaNa ndege za kisamia vipi?
mahabakutoka China.
Kumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi.
Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani