Mkiaibishwa ndio mnakumbuka neno AMANI... hamtofautiani na ccmShabikia amani kaka yangu
Nimefuatilia hasara za kila upande nikajiuliza sana Pakistan ametumia uchawi gani kumbe silaha za China 👏👏👏Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani ya kivita na hazijawahi kujaribiwa?
Hatimaye jibu limeanza kupatikana.
Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 6 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15
India spent about USD 300 mln per Rafale. Unaweza kupiga hesabu ujionee hasara iliyopata India kwenye shambulio hilo.
Hili shambulizi lilikuwa na udambwi dambwi wa electronic warfare ulioonyeshwa na PL-15E missiles.
Hizi missiles kwanza zina ubora wa hali ya juu inapohusu targeting, hapa nadhani Indian Air Force wanaweza kutoa ushahidi wa kina kwa walichojionea.
Lakini pia zina uwezo mkubwa wa kuzuia jamming attempts.
Adui yoyote mwenye weak electronics warfare tech kama India hasingeweza kufanya jamming kwa PL-15E missiles zilizokuwa zikifyatuliwa na J-10C.
Ikumbukwe kuwa J-10C ni 4th generation tu, kwa sasa China ina 5th gen na 6th gen fighter jets.
Wiki moja iliyopita India walisaini mkataba na Ufaransa kununua carrier based Rafale 23 kwa USD 7.4 billion. Je, India watanunua au watasitisha mkataba huo?
Natazamia kwa hamu tena India ijaribu kuchokoza jeshi la Navy la Pakistan ambalo nalo karibuni walinunua meli vita 4 aina ya 054AP kutoka China.
Ambazo zina many supersonic anti-ship missiles zikizamisha zile za India, ili dunia ijionee tena ubora wa meli vita za China.
Israel sio kwamba hashikiki sema anapigana na sungusungu wanaotegemea kupenyeza kombora mojamoja ambalo unakuta wamelisafirisha kwa njia ya magendo kutoka IranTrump kasema its shame for India..
Ila Jana nilicheka sana yaani Vita inaanza Ndege 5 zimeangushwa and India wao wamefanikiwa kubomoa msikiti shehemu kadhaa.. Pengine hizo ndge zilifungwa injini za bajaj.
Ndege vita zinnahitaji modifications kadhaa Israel anajua haya.. Akinunua ndege anaipiga chini yote anafunga vifaa vyake Mwenyewe.. ndio maana hashikiki... Israel kinachomsaidia ile project yake ya kutengeneza ndege vita yake mwenyewe and Marekani akaingilia kati kuikwamisha ndio chanzo kikuu cha High Tech.. and Mwishowe akawauzia China tech ya Ndege na China ametisha kwa hiyo tech ya hizo Ndege za Ravi fighter jet
Hapa vyombo vya Magharibi hawajataka tu kukiri ila kwa maneno haya ni wazi India imepata pigoHalafu soma hiyo heading kwa jicho la tatu: officials examine further possible losses
Israel sio kwamba hashikiki sema anapigana na sungusungu wanaotegemea kupenyeza kombora mojamoja ambalo unakuta wamelisafirisha kwa njia ya magendo kutoka Iran
Nimefuatilia hasara za kila upande nikajiuliza sana Pakistan ametumia uchawi gani kumbe silaha za China 👏👏👏
Akasema ndege 6 si ndio?Maneno yasiwe mengi soma alichosema huyo high ranking intelligence official wa Ufaransa
Kwahiyo hiyo source ni ya chanzo cha Mashariki. CNN au huyo "French official" ndio vyanzo vya Mashariki?Kwa akili zako unafikiri kuna chanzo cha Magharibi kitakiri hasara yote waliyopata India.
Ndege za India zimeingia anga la Pakistan na kushambulia.Kwamba kulikua na dog fighting iliyo pelekewa kudunguliwa ndege hizo 6 ama ni mifumo ya anga ilitumiwa? Embu eleza vizuri matumizi ya hizo ndege za kichina yalivo pelekewa kudunguliwa kwa ndege hizo na vile vile ingekua vyema ungeweka source ya taarifa Yako inayo elezea kudunguliwa kwa hizo ndege 6 tupate kujielimisha zaidi
Sasa China aichukueje Taiwan wakati ni mali yake? Wewe mwambie mwenye ubavu atie mguu Taiwan aonyeshweKumbe china ana siraha bora hivyo bt ameshndwa kukanyaga taiwan, cha ajabu china anaiba tech ya mrusi ya ndege vita na anatumia injini za ndege vita za urusi. Ajabu china na urusi huwa inawachukua miaka mingi sn kujbu au kutengeneza ndege vita inayokuwa imetengenezwa na marekani sasa kataa hili upewe data ya generation za ndege vita za marekani zmetoka mwaka gn na china na urusi imewachukua miaka mingapi nao kutengeneza.
Assad alipopoa ndege ya israel,na israel hakuingiza ndege anga la Iran,aliishia Iraq,sasa hivi israel analilia apewe ndege na USA,acha kusifia hao nguchiro wanaobebwa na USA na ulaya kila uchaoTrump kasema its shame for India..
Ila Jana nilicheka sana yaani Vita inaanza Ndege 5 zimeangushwa and India wao wamefanikiwa kubomoa msikiti shehemu kadhaa.. Pengine hizo ndge zilifungwa injini za bajaj.
Ndege vita zinnahitaji modifications kadhaa Israel anajua haya.. Akinunua ndege anaipiga chini yote anafunga vifaa vyake Mwenyewe.. ndio maana hashikiki... Israel kinachomsaidia ile project yake ya kutengeneza ndege vita yake mwenyewe and Marekani akaingilia kati kuikwamisha ndio chanzo kikuu cha High Tech.. and Mwishowe akawauzia China tech ya Ndege na China ametisha kwa hiyo tech ya hizo Ndege za Ravi fighter jet
Umeumia sana poleNdege za India zimeingia anga la Pakistan na kushambulia.
Pakistan wanalalamika raia wao wameuawa kwa mashambulizi ya anga, India inadai imeshambulia kambi za magaidi. Pak wanatishia kulipiza kisasi.
Pakistan inadai imedungua ndege za India, na zikadondoka kwenye ardhi ya India. (Pakistan haitodaiwa visual evidence, simply itasema ndege zimedondoka India kwahiyo India wanaficha ukweli). Ila visual evidence ya airstrikes za ndege za India ndani ya Pakistan ipo. Mpaka sasa zinazunguka picha za hapa na pale kuwa ni za leo.
Pakistan na India na vyanzo vingineHizo Rafale 6 zilizodondoshwa na Pakistan umezitoa wapi.
Akasema ndege 6 si ndio?
M nasubiri jamaa anionyeshe tomato sauce yake uliko aliko toa taarifa ikionesha hizo ndege 6 zikiwa zime dunguliwaNdege za India zimeingia anga la Pakistan na kushambulia.
Pakistan wanalalamika raia wao wameuawa kwa mashambulizi ya anga, India inadai imeshambulia kambi za magaidi. Pak wanatishia kulipiza kisasi.
Pakistan inadai imedungua ndege za India, na zikadondoka kwenye ardhi ya India. (Pakistan haitodaiwa visual evidence, simply itasema ndege zimedondoka India kwahiyo India wanaficha ukweli). Ila visual evidence ya airstrikes za ndege za India ndani ya Pakistan ipo. Mpaka sasa zinazunguka picha za hapa na pale kuwa ni za leo.
Aah Pakistan huwa wanasema hivyo hivyo miaka yote. Alafu mwishoni wanajeshi wake wanachapwa viboko na Wahindi wakijisalimisha.Pakistan na vyanzo vingine
Kwahiyo hizi source zako za CNN na Ufaransa ndio si za Magharibi, na wao hawawezi sema ukweli?Hawezi kukiri wazi hiyo ni biashara mkuu kufikia sasa hisa za manufacturer wa Rafale, Dassaults zimeshashuka hilo ni pigo
By the way soma between the lines kilichosemwa na CNN: "officials examine possible further losses"
Ukituliza akili mwenyewe, utagundua ni mvivu pekee ataamini habari za vichochoroni kwamba Rafales 6 zilienda kushambulia Pakistan, zikapigwa na zote zikadondoka India, na ushahidi hamna.Tuliza hiyo medula usiongozwe na ushabiki na mahaba kwanza
Aah Pakistan huwa wanasema hivyo hivyo miaka yote. Alafu mwishoni wanajeshi wake wanachapwa viboko na Wahindi wakijisalimisha.
Si ndiye alisema anamaliza vita ndani ya saa 72,au siyo yeye?Hapa nakubaliana nawe kwa 100%
Pamoja na nchi za NATO kumuunga mkono Ukaraine imagine Putin wala hafikirii kusimaisha vita kwa jinsi anajiamini
Mmarekani mara ajitoe mara arudi ila mwamba kabaki na msimamo wake uleule anakiwasha tu
Russia ni lidude fulani la kuliogopa sana