minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Nimemaanisha hiv huo wimbo wa sina demu nilikuwa naukubali sanando umemaanisha nini ndugu..?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaanisha hiv huo wimbo wa sina demu nilikuwa naukubali sanando umemaanisha nini ndugu..?
Enzi za bongo bongo .com sijui hao vijana walifia wapi walikuwa vizur sanaaNaomba niishie hapa wakubwa... naomba niseme machache.
kuna utofauti kati ya "Beat maker" na "Producer"
Msikilize hapa Producer ambaye huwa namkubali na kumfananisha na Paul Matthysse
View attachment 1119352
ok! nisamehe bure mkuu sikukua cna inamaanisha sina!Nimemaanisha hiv huo wimbo wa sina demu nilikuwa naukubali sana
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ile Dsm stand up by Chid benz alionesha uwezo wa kutisha mpaka basi
Thanks for your efforts mkuu japo wimbo nilioutaka si huo, wenyewe una verse/chorus inasema "Twende kazi watu wajue nani m'bakiaji, twende kazi... " Kuna sauti ya Zaharani.Chief salama
Hiyo nyimbo inaitwa Horses_
Nishaipandisha hapo_ enjoy
Hii sio ile " sisi ndo c c m"Kama una wimbo wa ngwea unaoitwa *mtoto wa jakaya* .msaada tafadhari
Kuishiwa idea hapana,
Beat making imekuwa rahisi sana siku hizi kutokana na technology na ndio mana madogo kibao asa iv wanafanya production za kutisha.
Nadhani ni ile tu kwamba kila nabii na zama zake.
Leo hii kule mbele hatusikii mikono ya Dr Dre,dj premier, lex lugger, scott storch wala the runners ila sasa iv kuna madogo kama metro boomin' wanafanya mambo makubwa
Scot scorch anarudi rudi
Katengeneza undecided ya Chriss brown,pia yupo kwenye album ya mwamba mmoja anaitwa somebody russ
Yaah jamaa aliwatengenezea vitu vikali sana kina 50 back in the daysKuna mahali nilisoma Dr Dre kamwita 50cent arudi studio mara tu 50 atakapomaliza mradi wake wa muvi.
Naona anajiandaa kurudi
Kuna beats ukizisikiliza unaweza kuhisi hii katengeneza nani, mfano beats za Nah reel, mensen selecta au pancho latino.Pancho alikuwa na mdundo flani hivi amaizing
MASTER JAY kakubabaisha kwa lipi?!Bongo record ilikuwa noma sana, salama jabir anasema alikuwa anapitia ngoma zaidi ya 20 za kupiga kwenye kipindi chake cha planet bongo kila jumamosi asubuhi na zote zinaingia top 10 next week.
P-funk genius level talent yake ilikuwa ni kufanya Kazi na akina Dr Dre na snoopy dog na sio Juma kiroboto.
Master jay yule Mangi ni mbabaishaji tu.
Master Jay. Hamna kitu ni ujuaji tu.MASTER JAY kakubabaisha kwa lipi?!