- Thread starter
- #181
Kuishiwa idea hapana,
Beat making imekuwa rahisi sana siku hizi kutokana na technology na ndio mana madogo kibao asa iv wanafanya production za kutisha.
Nadhani ni ile tu kwamba kila nabii na zama zake.
Leo hii kule mbele hatusikii mikono ya Dr Dre,dj premier, lex lugger, scott storch wala the runners ila sasa iv kuna madogo kama metro boomin' wanafanya mambo makubwa
Majani hasemi tu ukweli ila kuna media ilimuhakikishia kuwa wataiua bongo recor ds baada ya P-funk kugoma kuwatengenezea music wasanii wa THT kwani aliamini kwenye real talent akawa hataki hata alipwe.
Media ile ikaanza kupromote producers wachanga wamshushe Majani,-mfano Lamar kafundishwa na P-Funk lakini alikuzwa haraka haraka. Beef liliendelea na pengine ikamshusha sana hamu ya mziki ukiangalia hapati jasho sitahiki na soko la album lilikufa.
zacha mkuu pandisha Famous ya Jay Mo ft P-Funk Majani- vijana wasikie mikono na chorus matata ya godfather huyu wa bongo music then waseme nani mwingine anaweza fanya levol hizo zaidi ya P.