Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Kuishiwa idea hapana,
Beat making imekuwa rahisi sana siku hizi kutokana na technology na ndio mana madogo kibao asa iv wanafanya production za kutisha.
Nadhani ni ile tu kwamba kila nabii na zama zake.
Leo hii kule mbele hatusikii mikono ya Dr Dre,dj premier, lex lugger, scott storch wala the runners ila sasa iv kuna madogo kama metro boomin' wanafanya mambo makubwa

Majani hasemi tu ukweli ila kuna media ilimuhakikishia kuwa wataiua bongo recor ds baada ya P-funk kugoma kuwatengenezea music wasanii wa THT kwani aliamini kwenye real talent akawa hataki hata alipwe.

Media ile ikaanza kupromote producers wachanga wamshushe Majani,-mfano Lamar kafundishwa na P-Funk lakini alikuzwa haraka haraka. Beef liliendelea na pengine ikamshusha sana hamu ya mziki ukiangalia hapati jasho sitahiki na soko la album lilikufa.

zacha mkuu pandisha Famous ya Jay Mo ft P-Funk Majani- vijana wasikie mikono na chorus matata ya godfather huyu wa bongo music then waseme nani mwingine anaweza fanya levol hizo zaidi ya P.
 
Iko hivi majani ndio alikua mtu wa kumix baad ya hawa wengine kupita na kuongezea ongezea bass na radha nyingine, ila bonho rec imepta sifa kupiyia mikono mingi sana, soggy doggy kazi zote alizozifanya pale beat alikua anajigongea na amewagongea na wengine kama mme bwege ya bushoke.
So P alikua final producer ila vivhwa bimeumizwa sana na wakina ludiho bizman sogg dog na mzungu kichaa kainhiza sana magitaa kwenye kazi za bongo rec
Mikasi ni kazi ya Professa Ludigo si Majani
 
Slikufa kwa ngoma sio bonluv kweli
1. Kama unataka demu - j mo
2. Nyumbani nyumbani - TMK
3. Simu yangu - solo
4. Gado rmx - zay b
5. Dj - sister p
6. Msela - ngwea na nature
7. Usinichukie - afande sele
8. Jinsi tulivyo - Manyema family
9. Maskini jeuri - temba na mwenzie
10. Nampenda yeye - temba
11. Handsome - dully sykes
12. Ulibisha hodi - watu poli
13. Hawatuwezi - Nako 2 Nako
14. Agost 13 - Fid q
15. Piga makofi - Prof j
16. Tumbo joto - kali p
17. Ya leo kali - wachuja nafaka
18. Si uliniambia - mb dog
19. Latifa - Mb dog
20. Tatu bila
21. Jirushe - ferouz
22. Nicheki - o ten
23. Wanapendana - fa
24. Cheza kidogo - ngwea na jmo
25. Kijana mteja - ferouz
26. Alikufa kwa ngoma - fa

List ni ndefu kwa kweli ila tuishie hapa
 
Njia pekee ya kuziondoa sifa za p na kumfanya aoneke producer wa kawaida ni wewe kuanza kugonga beat zenye ubora zaidi ya zile za P alafu vile vile uwe na uwezo mkubwa wa kufanya mixing na mastering ukiyaweza hayo basi uanze kuachia mangoma yako uliyoyarekodi kisha sisi wadau ndo tu anze kujudge sasa kwamba kati yako wewe na mkali P nani zaidi
ndo tatizo la ushabiki uliopitiliza hata mkiambiwa ukweli mnadhani watu wanawaonea wivu. kazi nyingi pale zmehusisha mikono ya watu wengi tofauti na huu ndo ukweli ila haimaanishi kua Majani sio Producer bora.
 
Iko hivi majani ndio alikua mtu wa kumix baad ya hawa wengine kupita na kuongezea ongezea bass na radha nyingine, ila bonho rec imepta sifa kupiyia mikono mingi sana, soggy doggy kazi zote alizozifanya pale beat alikua anajigongea na amewagongea na wengine kama mme bwege ya bushoke.
So P alikua final producer ila vivhwa bimeumizwa sana na wakina ludiho bizman sogg dog na mzungu kichaa kainhiza sana magitaa kwenye kazi za bongo rec
Tatizo Credit zinaenda kwa mtu mmoja, kazi nyingi hilo ndiyo tatizo. Ni chache mno ndiyo Wanapewa na wengine, hii ndiyo siyo sawa. Hata huko juu waliyonikosoa waliniita Hater, lakini jamaa katembelea nyota za wengine
 
ndo tatizo la ushabiki uliopitiliza hata mkiambiwa ukweli mnadhani watu wanawaonea wivu. kazi nyingi pale zmehusisha mikono ya watu wengi tofauti na huu ndo ukweli ila haimaanishi kua Majani sio Producer bora.
Hiko ndiyo nilimaanisha hata post yangu chini, nilisema ni miongoni mwa maproducer bora. Hakuona hilo kaamua kuja juu kishabiki
Ila kwanini ashirikiane na watu, halafu credit ziende kwake tu kwa kazi nyingine.
 
Slikufa kwa ngoma sio bonluv kweli

Alikufa kwa ngoma,wanapendana ft duly Sykes,ungeniambia ft Mariamu zote Bongo Records.

Mkuu it seems huzijui kazi nyingi za Bongo Record. Na huenda hujui moja ya ugomvi wa P- hadi kumtimua soggy dog hunter ni hayo maneno kujibrag anantengeneza mwenyewe ngoma zake.

Soggy alikuwa na kundi lake linaitwa hot pot family,alitengeneza track gani kwa kundi lake?!

Kibanda cha simu,kulwa na doto,fagilia zote Majani alihusika sana,ongeza na story ft Mandojo.

P- alipotaka kuondoka kwenda Uholanzi kipindi fulani alianza waandaa Nature,Soggy awaachie studio chini ya kina Bizman na kazi aliyoshiriki Soggy kwa ukubwa kiasi ni Mme bwege ya Bushoke,ambapo waliunda wote,Bizman,P na Soggy

zacha pandisha Kilimanjaro- Joh Makini ft Lady Jay Dee- produced by Majani.
 
Umeonekana hivyo coz ilitaka kuonesha nafasi za wengine ktk nyimbo zilizotajwa, kiyu ambavho watu hawakjjiandaa nacho coz hapa anayezungumziwa ni majani lakini orodha ya nyimbo ni za bonho rec, ambazo kuna alizofanya yeye na ambazo hakufanya yeye so kuelewa inahitaji kujielewa kwanza. So mimi nilikuelewa ktk zile ambazo hakufanya yeye lakini zimeorodheshwa ingawa ukweli unabaki yeye ni produce na sound engineer mkubwa tuu, hata huko mbele wakina storch wana majina kwa kupitia kazi za maproducer wengine wengi tuu wenye majina pia. Mgano beat ya Still Dre huwezi kuta storvh anatajwa tajwa sana kuhusika ila ile bt bila yeye wenda isingekua ilivyo pamoja na kuwa mzee Dre mwenyewe ndio producer wa ile track.

Tatizo Credit zinaenda kwa mtu mmoja, kazi nyingi hilo ndiyo tatizo. Ni chache mno ndiyo Wanapewa na wengine, hii ndiyo siyo sawa. Hata huko juu waliyonikosoa waliniita Hater, lakini jamaa katembelea nyota za wengine
 
Tukate hangover hapa
 
Attachments

Chief, naomba ntafutie ngoma moja hv waliimba wasanii kibao wa bongo record kama vile Zaharani, Dudubaya (wa kipindi kile si huyu wa sasa[emoji1787]) na wengineo.

Chief salama

Hiyo nyimbo inaitwa Horses_
Nishaipandisha hapo_ enjoy
 
Alikufa kwa ngoma,wanapendana ft duly Sykes,ungeniambia ft Mariamu zote Bongo Records.

Mkuu it seems huzijui kazi nyingi za Bongo Record. Na huenda hujui moja ya ugomvi wa P- hadi kumtimua soggy dog hunter ni hayo maneno kujibrag anantengeneza mwenyewe ngoma zake.

Soggy alikuwa na kundi lake linaitwa hot pot family,alitengeneza track gani kwa kundi lake?!

Kibanda cha simu,kulwa na doto,fagilia zote Majani alihusika sana,ongeza na story ft Mandojo.

P- alipotaka kuondoka kwenda Uholanzi kipindi fulani alianza waandaa Nature,Soggy awaachie studio chini ya kina Bizman na kazi aliyoshiriki Soggy kwa ukubwa kiasi ni Mme bwege ya Bushoke,ambapo waliunda wote,Bizman,P na Soggy

zacha pandisha Kilimanjaro- Joh Makini ft Lady Jay Dee- produced by Majani.
Ukinisoma utajua sikua na uhakika na hilo la alikufa kwa ngoma alifanya P na si sababu ya kuzijua au kuyokuzijua ikiwa na kuna orodha watu wanaorodhesha hata nyimbo ambazo hakuzifanya majani ilhali wakiwa na uhakika kazifanya yeye na Bonho rec studio..

Kama soggy kusema hivyo likaleta ugomvi basi kuna wengi wameuchuna ili wasigombane nae coz hata kujua mzungu kichaa aliingiza gitaa la she got a gwan ilinichukua muda hadi aliposema yeye mwenyewe mzungu kichaa.

Kuna watu kama wakina jay more wana idea zakugonga bt vp wao hawajawai kutumia hizo idea zao kwa kumshirikisha P?
 
Naomba niishie hapa wakubwa... naomba niseme machache.

kuna utofauti kati ya "Beat maker" na "Producer"
Msikilize hapa Producer ambaye huwa namkubali na kumfananisha na Paul Matthysse

1119352
 
Attachments

Majani hasemi tu ukweli ila kuna media ilimuhakikishia kuwa wataiua bongo recor ds baada ya P-funk kugoma kuwatengenezea music wasanii wa THT kwani aliamini kwenye real talent akawa hataki hata alipwe.

Media ile ikaanza kupromote producers wachanga wamshushe Majani,-mfano Lamar kafundishwa na P-Funk lakini alikuzwa haraka haraka. Beef liliendelea na pengine ikamshusha sana hamu ya mziki ukiangalia hapati jasho sitahiki na soko la album lilikufa.

zacha mkuu pandisha Famous ya Jay Mo ft P-Funk Majani- vijana wasikie mikono na chorus matata ya godfather huyu wa bongo music then waseme nani mwingine anaweza fanya levol hizo zaidi ya P.

Tayali mkuu...

Labda tujiulize, kwanini P kafanya interview ya kwanza mwezi uliopita baada ya miaka kibaoo kupita.

Game itachange.....
 
Back
Top Bottom