Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Chief salama

Hiyo nyimbo inaitwa Horses_
Nishaipandisha hapo_ enjoy
Thanks for your efforts mkuu japo wimbo nilioutaka si huo, wenyewe una verse/chorus inasema "Twende kazi watu wajue nani m'bakiaji, twende kazi... " Kuna sauti ya Zaharani.
 
😛
 

Attachments

Scot scorch anarudi rudi

Katengeneza undecided ya Chriss brown,pia yupo kwenye album ya mwamba mmoja anaitwa somebody russ
 
Bongo record ilikuwa noma sana, salama jabir anasema alikuwa anapitia ngoma zaidi ya 20 za kupiga kwenye kipindi chake cha planet bongo kila jumamosi asubuhi na zote zinaingia top 10 next week.
P-funk genius level talent yake ilikuwa ni kufanya Kazi na akina Dr Dre na snoopy dog na sio Juma kiroboto.

Master jay yule Mangi ni mbabaishaji tu.
 
MASTER JAY kakubabaisha kwa lipi?!
 
Mwenye hii ngoma adondoshe kama sikosei inaitwa janga la dunia ya bushoke ft ngwair
 
Majaniiiiiiiiiiiiiiiiii the living legend
 
Tatu Bila by Tmk Wanaume Halisi
Ile Battle ilikua Konki sana vs TMK Wanaume Family
Majani akawapikia TMK Wanaume Halisi Beat makini sana vijana wa Sir Nature,na Flow zilikua za kibabe pia[emoji445][emoji445][emoji445][emoji443]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…