Ubora wa Samatta upo kwenye kujieleza tu

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Anapokuwa Timu ya Taifa huwa naangalia uzuri wa Samatta ambao natarajia kuuona, siuoni. Sikumbuki ni lini amewahi kutuokoa kwenye hali tete zaidi ya kufunga magoli rahisi na ya kawaida.

Tena bora hata siku za nyuma kuna kitu alikua anajarbu kufanya. Siku zinavyozidi kwenda namuona amekua mzuri kwenye kujieleza kabla na baada ya mechi kuliko uwanjani. Nimjuavyo Samata km akiamua kujituma kupata penalti, kila mechi au faulo za kutosha inawezekana. Cha msingi aache kucheza kifazafaza.

Tunashambuliwa sana kwa sababu timu yetu haina hatari sehemu ya mbele, watu wanaona hatuna madhara hivyo wanaamua kuja.

Mbwana inabidi ajitafakari kama anataka kuwa Legend wa nchi hii kwa kizazi cha sasa, la sivyo watabaki kuwa akina Erasto,Yondani na Kaseja.
 
Samata tangu ameoa hajafikisha mwezi, ina maana anacheza uku akiwa kwenye fungate, mwili wake una uchovu mwingi. Wenzetu walio endelea kila baada ya mechi ngumu wana wataalamu wa kurekebisha uchovu wa mwili kuanzia masaji chakula na saikolojia ina maanisha mechi inayofuata ana kua mpya.
Tusiwe hatuna fadhila, Samata amejitoa sana kwa nchi hii, kunasiku kama binadamu anaweza asicheze vile tunavyo tarajia tunatakiwa tumvumilie huo ndio mpira.

Namshauri Samata haitaji kuomba msamaha anatakiwa aelewe kunakipindi hatoweza kucheza vizuri mwili wake utakua na uchovu na umriwake unasogea kwaiyo yeye kama nyota kwa sasa aelewe lazima atalaumiwa kama akiwa uwanjani.
Siku zote mchezaji nyota ndio hulaumiwa iyo imetokeakwa Mess, Drogba, Ronaldo na wengine wengi.
Ata uyo Msuva na Wengine wajue Siku wakiwa tegemeo,vinara kwenye timu ya taifa au klabu zao wajue mambo yakikwama wao ndio watalaumiwa. Mwangalie Pogba anavyo hangaika na Lawama za Manchester, huwezi kulaumiwa kama sio kinara. Kulaumiwa ndio huonyesha thamani yako, ata Mess ilifikia hatua alisusia timu ya taifa kwa kuogopa lawama.
 
Watanzania tuna shida Sana

Juzi tu vvd alikua tunu ya taifa kwa kupata bao against Liverpool.... Leo mnamtukana kila Kona

This is not right
 
Na cha kusikitisha unakuta na wachezaji wengine wasipopaform wanajificha kwenye kivuli cha mchezaji nyota. Maana lawama zote anapewa yeye wao wanasahaulika.
 
Mechi hizi 2 za mwisho za Taifa 🌟,Samata amecheza ovyo ovyo,ufaza mwingi,anajichekesha chekesha uwanjani. Huyu ni kiongozi uwanjani,nahodha, wenzake wanapambana kufa kupona,mwenyewe anapaka rangi mpira. Akiamua,anaweza. Au anaogopa majeruhi,asije akakosa dili la kucheza EPL
 
Watanzania tuna shida Sana

Juzi tu vvd alikua tunu ya taifa kwa kupata bao against Liverpool.... Leo mnamtukana kila Kona

This is not right
Sawa Shafii Dauda,ila kumbuka kuna kusifiwa na kukosolewa kama hukubali kwenye maisha yako kukosolewa basi ningumu kufanikiwa.
 
Raha ya nyege kunyegezana! Hivi Samatta atawezaje kucheza vizuri peke yake bila sapoti ya wachezaji wengine? Wachezaji wote wanatakiwa kucheza kwa akili bila kutegemea akili/nguvu za wachache!
 
Anapokuwa Timu ya Taifa huwa naangalia uzuri wa Samatta ambao natarajia kuuona, siuoni. Sikumbuki ni lini amewahi kutuokoa kwenye hali tete zaidi ya kufunga magoli rahisi na ya kawaida.

Tena bora hata siku za nyuma kuna kitu alikua anajarbu kufanya. Siku zinavyozidi kwenda namuona amekua mzuri kwenye kujieleza kabla na baada ya mechi kuliko uwanjani. Nimjuavyo Samata km akiamua kujituma kupata penalti, kila mechi au faulo za kutosha inawezekana. Cha msingi aache kucheza kifazafaza.

Tunashambuliwa sana kwa sababu timu yetu haina hatari sehemu ya mbele, watu wanaona hatuna madhara hivyo wanaamua kuja.

Mbwana inabidi ajitafakari kama anataka kuwa Legend wa nchi hii kwa kizazi cha sasa, la sivyo watabaki kuwa akina Erasto,Yondani na Kaseja.
ha haaaaaa...kweli.
 
Back
Top Bottom