ubora wa shule mkoani arusha na kilimanjaro.

ubora wa shule mkoani arusha na kilimanjaro.

Masihi.m

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
104
Reaction score
66
naulizia ni shule zipi bora kwa kufaulisha kidato cha sita mkoani arusha na kilimanjaro mbali na ilboru na kisimiri,ziwe ni za serikali na ziwe na michepuo ya sayansi.naomba msaada wadau kwa sababu nataka nimuhamishie mdogo wangu mkoani arusha au kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom