naulizia ni shule zipi bora kwa kufaulisha kidato cha sita mkoani arusha na kilimanjaro mbali na ilboru na kisimiri,ziwe ni za serikali na ziwe na michepuo ya sayansi.naomba msaada wadau kwa sababu nataka nimuhamishie mdogo wangu mkoani arusha au kilimanjaro.