crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
kivip mkuuhiyo budget kanunue tecno spark 4 itakufaa.usitake kizuri kwa bei chee
shukrani mkuu ngoja nijipange niongeze mkwanjaOngeza 70k ununue Samsung galaxy A20 kwa 320k upate simu ya kijanja ya mwaka huu huu 2019 ina internal gb32, ram 3gb, camera kali, prosesor na uhakika, 4G LTE laini zote 2, super amoled betr 4000mah ina fast chaji yaani ukiweka simu chaji ndani ya saa na robo iko full now kuchaji simh kwa masaa 3 au 4 ni uzwazwa na kuootza mda watu tunaenda na time is money ukishindwa
Chukua Samsung galaxy A10 kwa 260k ram gb2 ineternal 32, 4G LTE laini zote 2, betri 3300mah haina fast chaji inajaa kwa masaa 3, camera ya kawaida sana haina super amoled kioo chake cheupe
Shukrani mkuu kwani OPPO ni ghali sana auUsinunue tecno hata iwe na internal 64gb nia afadhali kama hata ununue infinix hizi mpya zinaunafuu kidogo ila Samsung ndo pendekezo la wengi kama unataka kitu murua
Huwezi kupata oppo mpya kwa bei hiyoWakuu salamu zenu katika ubora.
Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.
Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua kwenye hizi simu na hasara zake kama zipo.
Samahani kama nimetumia Kiswahili vibaya kwenye uzi huu ila naombeni ushauri.
Nawasilisha.
Mkuu emu nielekeze OPPO gan nzuri ya kutumia kununua na bei yake pamoja na specificationHuwezi kupata oppo mpya kwa bei hiyo
Mkuu emu nielekeze OPPO gan nzuri ya kutumia kununua na bei yake pamoja na specification
Mkuu zikoje izo simujanja em tupia spec. zakeSimu nzuri ya bajeti ndogo hii hapa Doogee N20 flagship killer usikimbilie hayo majina wakati kuna vitu vizuri agizia AliExpress
View attachment 1259063
Hii DOOGEE N20 ina camera 3 nyuma zenye optical zoom 4 na ya mbele yenye 16 Megapixel, ina facial and finger print recognition, 64 GB ROM na 4 GB RAM,6.33'' FHM na water drop screen ya 1080 * 2280 , ina Helios P23 sio Snapdragon, ina line mbili za Nano na sehemu ya memory card ya TF up to 128 GB external storage, betri la 4,350 mAh polymer betri ambalo likijaa vema lina standby time up to 120 hours, Simu inatumia Android 9.0 Pie na OTA updates zipo , ina lugha zote za kimataifa kiingereza kikiwemo na ina network zote kuanzia WCDMA, 2 G, 3 G, 4G LTE na iliundwa Februari 2019. Pia free shipping yaani unatumiwa huko Tanzania buree.Mkuu zikoje izo simujanja em tupia spec. zake
Shauri yako na hizo Samsung zenye betri mbovu watu wanafuata hizi flagship killers kwa sasa kama XIAOMI, OPPO, ONE PLUS,VIVO na DOOGEE. Bakia na Samsung na Iphone ukomeYaani mtu unaacha kuchukua simu kama samsung unaanza hangaika na masimu yasiyojulikana
Hiyo ndio sh.ngapiSHa Shauri yako na hizo Samsung zenye betri mbovu watu wanafuata hizi flagship killers kwa sasa kama XIAOMI, OPO, ONE PLUS na DOOGEE. Bakia na Samsung na Iphone ukome
Dola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+Hiyo ndio sh.ngapi
Hivyo nainunua online au hata madukani zipoDola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+
Yaani iPhone wanacompare na sim brad ndogo kama hiyoDola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+
Ndiyo ona mwenyeweYaani iPhone wanacompare na sim brad ndogo kama hiyo
Very good!Hii DOOGEE N20 ina camera 3 nyuma zenye optical zoom 4 na ya mbele yenye 16 Megapixel, ina facial and finger print recognition, 64 GB ROM na 4 GB RAM,6.33'' FHM na water drop screen ya 1080 * 2280 , ina Helios P23 sio Snapdragon, ina line mbili za Nano na sehemu ya memory card ya TF up to 128 GB external storage, betri la 4,350 mAh polymer betri ambalo likijaa vema lina standby time up to 120 hours, Simu inatumia Android 9.0 Pie na OTA updates zipo , ina lugha zote za kimataifa kiingereza kikiwemo na ina network zote kuanzia WCDMA, 2 G, 3 G, 4G LTE na iliundwa Februari 2019. Pia free shipping yaani unatumiwa huko Tanzania buree.
Simu dizaini hiyo ziko nyingi tatizo majina tu.Dola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+
Hiyo betri mbovu unayosema sijaiona ni husda zako tu ndio nazionaSHa Shauri yako na hizo Samsung zenye betri mbovu watu wanafuata hizi flagship killers kwa sasa kama XIAOMI, OPO, ONE PLUS na DOOGEE. Bakia na Samsung na Iphone ukome