Ubora wa simu janja (smartphone)

Ubora wa simu janja (smartphone)

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Wakuu salamu zenu katika ubora.

Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.

Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua kwenye hizi simu na hasara zake kama zipo.

Samahani kama nimetumia Kiswahili vibaya kwenye uzi huu ila naombeni ushauri.

Nawasilisha.
 
hiyo budget kanunue tecno spark 4 itakufaa.usitake kizuri kwa bei chee
 
Ongeza 70k ununue Samsung galaxy A20 kwa 320k upate simu ya kijanja ya mwaka huu huu 2019 ina internal gb32, ram 3gb, camera kali, prosesor na uhakika, 4G LTE laini zote 2, super amoled betr 4000mah ina fast chaji yaani ukiweka simu chaji ndani ya saa na robo iko full now kuchaji simh kwa masaa 3 au 4 ni uzwazwa na kuootza mda watu tunaenda na time is money ukishindwa

Chukua Samsung galaxy A10 kwa 260k ram gb2 ineternal 32, 4G LTE laini zote 2, betri 3300mah haina fast chaji inajaa kwa masaa 3, camera ya kawaida sana haina super amoled kioo chake cheupe
shukrani mkuu ngoja nijipange niongeze mkwanja
 
Usinunue tecno hata iwe na internal 64gb nia afadhali kama hata ununue infinix hizi mpya zinaunafuu kidogo ila Samsung ndo pendekezo la wengi kama unataka kitu murua
Shukrani mkuu kwani OPPO ni ghali sana au
 
Wakuu salamu zenu katika ubora.

Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.

Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua kwenye hizi simu na hasara zake kama zipo.

Samahani kama nimetumia Kiswahili vibaya kwenye uzi huu ila naombeni ushauri.

Nawasilisha.
Huwezi kupata oppo mpya kwa bei hiyo
 
Simu nzuri ya bajeti ndogo hii hapa Doogee N20 flagship killer usikimbilie hayo majina wakati kuna vitu vizuri agizia AliExpress
Mkuu emu nielekeze OPPO gan nzuri ya kutumia kununua na bei yake pamoja na specification
doogee n20.jpg
 
Mkuu zikoje izo simujanja em tupia spec. zake
Hii DOOGEE N20 ina camera 3 nyuma zenye optical zoom 4 na ya mbele yenye 16 Megapixel, ina facial and finger print recognition, 64 GB ROM na 4 GB RAM,6.33'' FHM na water drop screen ya 1080 * 2280 , ina Helios P23 sio Snapdragon, ina line mbili za Nano na sehemu ya memory card ya TF up to 128 GB external storage, betri la 4,350 mAh polymer betri ambalo likijaa vema lina standby time up to 120 hours, Simu inatumia Android 9.0 Pie na OTA updates zipo , ina lugha zote za kimataifa kiingereza kikiwemo na ina network zote kuanzia WCDMA, 2 G, 3 G, 4G LTE na iliundwa Februari 2019. Pia free shipping yaani unatumiwa huko Tanzania buree.
 
Dola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+
Yaani iPhone wanacompare na sim brad ndogo kama hiyo
 
Very good!
 
Dola 100 sawa na 230,000/= hivi juzi ilikuwa dola 90. Ni cheap phones ila zenye ubora wa juu ukienda Youtube utakuta wanaicompare na Iphone 11+
Simu dizaini hiyo ziko nyingi tatizo majina tu.
TEENO
UKTEL
UMIDIGI
ELEPHONE
ULEPHONE
Etc
 
SHa Shauri yako na hizo Samsung zenye betri mbovu watu wanafuata hizi flagship killers kwa sasa kama XIAOMI, OPO, ONE PLUS na DOOGEE. Bakia na Samsung na Iphone ukome
Hiyo betri mbovu unayosema sijaiona ni husda zako tu ndio naziona
 
Back
Top Bottom